Tanzania: Together we can, "freedom is coming tomorrow "

Ipo siku inakuja ,inakuja ,inakuja....

Ikiwa leo ni siku ya sikukuu ya X- mass niwape tu ujasiri watanzani kuwa tumeona maisha tofauti mwaka huu 2016 lakini niwape moyo wapenda mabadiliko ya kweli wote ya kisiasa,kiuchumi,kijamii ipo siku inakuja ambayo tutaishi tofauti.

Utu,Uhuru na Haki vitajaa kiwango cha maji ya bahari zilizozunguka dunia na kujaa mioyoni mwenu.

1: Ipo siku inakuja masikini wenzangu wa Kagera ambapo pesa zenu mahafa hazitachangwa na zingine zikapotea bure.

2: Ipo siku inakuja masikini wenzangu wa wafanyakazi wa serikali hautapita mwaka mzima bila kupandishwa vyeo na kupandishwa madaraja.

3:Ipo siku inakuja wanachuo wa art's nao watathaminiwa katika jamii kama zamani hawataitwa vilaza na kunyimwa Ajira wakati ni watoto wa masikini.

4: Ipo siku inakuja watu kama Ben Saanane wakosoaji wa serikali hawatapotea tena bila kupatika kwa mwezi mzima wakati kuna serikali.

5: Ipo siku inakuja wapigania Uhuru wa habari kama Max hawatasumbuliwa na police tena tutakuwa tukiishi maisha bila hofu dhidi ya Uhuru wetu wa kukosoa na kusema ukweli.

6: Ipo siku inakuja wakina Lema na wengine waliopo gerezani kwa hila na figisu figisu za serikali watakuwa huru watakuwa nje na kufurahia Xmas na ndugu zao .

7: Ipo siku inakuja wahujumu uchumi ndio itakuwa priority number moja ya serikali kuwashugulikia ,Watu kama wakina Mulla wa meno ya tembo,Mafisadi kama Lugumi Singasinga wa IPTL hawatachezea tena kodi zetu maisha ya watanzania.

8: Ipo siku inakuja priority yetu itakuwa ni kutoa huduma muhimu na bora za jamii kama Maji,Umeme,Dawa hospital kutoa Ajira sio kujenga uwanja wa ndege Chato.

9 : Nasisitiza ipo siku inakuja watanzania hata wahamiaji haramu hawatauawa na kuwekwa kwenye mifuko na kuwekewa mawe na kutupwa kwenye maji ya Mto Ruvu ambayo wakazi wa dar wanakunywa kila siku.

10: Mwisho ipo siku inakuja ambapo waandishi wa habari hawatawekwa kizuizini kwa kuripoti njaa eneo husika,au kuripoti kero za maji eneo usika Wakati watanzania karibu asilimia 75% hawana maji safi na salama.

Nasisitiza ipo siku inakuja watu wote wa nchi hii watakuwa na furaha kwa pamoja na kupaza sauti zao kuongea ukweli na kuwaambia watawala kuwa hapana ni hapana na ndio ni ndio tena kupitia chombo chochote cha habari iwe radio,iwe TV.

Hapo ndipo watanzania wote kusini kasikazini magharibi,Mashariki tutakuwa tukiishi kwa furaha sio woga na hofu tutakuwa tukisherekea sikukuu kama hizi kwa tabasamu sio hasira.

Naomba Mungu aendelee kutupa nguvu na akili za kuongea ukweli na kutenda mengi yaliyo mema maana safari bado ni ndefu lakini ipo siku inakuja .

Mungu ibariki Tanzania wabariki na watu wake wanaofuata misingi yako.

"Merry Xmas to all Tanzanians " naipenda sana Tanzania

[HASHTAG]#togetherwecan[/HASHTAG].
Hii ni mojawapo ya post za kipumbavu sana mwaka huu! Nenda Somalia basi ukapate huo Uhuru!!
 
Wewe nae wakati mwingne unakuwa na matatizo sana.....HIVI HIZI PESA ZA KAGERA mbona mnapenda kuishi kwa umbea sana bila ya kuwa na uthibitisho.....HAPA TUNATEGEMEA UJE NA USHAIDI YA KUWA HIZI PESA ZIMEENDA KWENYE MIFUKO YA WATU..........na si kubwabwaja as if hizi pesa zimeliwa na pia tunataka atleast kufikia sasa unakuja na ushahidi either wa video au wahusika juu ya hali yao ya MAISHA huko wa liko JE mapaka sasa hawajapokea msaada wowote au wanalala nje

Povu povu. Tuambie ama pesa za michango ya maafa ya Kagera zimefikishwa huko na zimewafikia walengwa.

Hii mbona kila ipo WAZI mpaka sasa WAULIZWE CHADEMA kuhusu huyu KIJANA maana jinsi alivyokuwa akitumika kukikiingia KIFUA hiki CHAMA NAKUPOTEA KWAKE LEO HII NA uzito wanatoa CHADEMA juu ya utafutaji wa huyu kijana inatia SHAKA SANA...Tatzo unavyoandika ni as if SERIKALI INAHUSIKA NA KUPOTEA KWAKE....

Mkuu ile sms ya vitisho kwa Ben kwa nini hamtuambii ni ya nani? Watu wanazusha ni ya dola sasa hilo ni doa.

Na ulivyokuwa na AKILI NUSU...un afikiri hili linaweza timizwa kwa kutukana VIONGOZI MATUSI????atah kama angekuwa ni LOWASSA asingekubali huu UPUUZI......

Siku hizi ukimkosoa mwenyeheri mtukufu malaika juma ponda mali ni matusi. Sijui kamusi gani hiyo ambayo imeingiza jesca = kihiyo = kibset

Hivi ndio VIZAZI vya ajabu kweli...HIVI kwa akili yako unafikiri atah kama ingekuwa ni wewe UNGERUHUSU huu UPUUZI wa LEMA????walio wengi na hata waliomchagua wameishamuona ni MPUUZI na ndio maana hakuna atah movement yoyote wakazi wa ARUSHA wameionyesha kupinga LEMA kuwa GEREZANI ni wapuuzi wa wachache wenye CHUKI Na serikali hii ndio mnaolala humu kwenye mambo mema.....

Maana yake sisi wote wa Arusha tuliomchagua Lema ni wapuuzi kuliko anayeikanyaga katiba na kukandamiza haki za msingi za kibinadamu. Siyo ajabu mpuuzi kumuona mwerevu mpuuzi. Akili daraja la tatu linalojadili watu na ndiyo akili yako.

Nakuarifu kuwa wanaoichukia serikali yako na watawala wameongezeka mara tatu mmebaki wewe na mamburura wenzio.
 
Ipo siku inakuja ,inakuja ,inakuja....

Ikiwa leo ni siku ya sikukuu ya X- mass niwape tu ujasiri watanzani kuwa tumeona maisha tofauti mwaka huu 2016 lakini niwape moyo wapenda mabadiliko ya kweli wote ya kisiasa,kiuchumi,kijamii ipo siku inakuja ambayo tutaishi tofauti.

Utu,Uhuru na Haki vitajaa kiwango cha maji ya bahari zilizozunguka dunia na kujaa mioyoni mwenu.

1: Ipo siku inakuja masikini wenzangu wa Kagera ambapo pesa zenu mahafa hazitachangwa na zingine zikapotea bure.

2: Ipo siku inakuja masikini wenzangu wa wafanyakazi wa serikali hautapita mwaka mzima bila kupandishwa vyeo na kupandishwa madaraja.

3:Ipo siku inakuja wanachuo wa art's nao watathaminiwa katika jamii kama zamani hawataitwa vilaza na kunyimwa Ajira wakati ni watoto wa masikini.

4: Ipo siku inakuja watu kama Ben Saanane wakosoaji wa serikali hawatapotea tena bila kupatika kwa mwezi mzima wakati kuna serikali.

5: Ipo siku inakuja wapigania Uhuru wa habari kama Max hawatasumbuliwa na police tena tutakuwa tukiishi maisha bila hofu dhidi ya Uhuru wetu wa kukosoa na kusema ukweli.

6: Ipo siku inakuja wakina Lema na wengine waliopo gerezani kwa hila na figisu figisu za serikali watakuwa huru watakuwa nje na kufurahia Xmas na ndugu zao .

7: Ipo siku inakuja wahujumu uchumi ndio itakuwa priority number moja ya serikali kuwashugulikia ,Watu kama wakina Mulla wa meno ya tembo,Mafisadi kama Lugumi Singasinga wa IPTL hawatachezea tena kodi zetu maisha ya watanzania.

8: Ipo siku inakuja priority yetu itakuwa ni kutoa huduma muhimu na bora za jamii kama Maji,Umeme,Dawa hospital kutoa Ajira sio kujenga uwanja wa ndege Chato.

9 : Nasisitiza ipo siku inakuja watanzania hata wahamiaji haramu hawatauawa na kuwekwa kwenye mifuko na kuwekewa mawe na kutupwa kwenye maji ya Mto Ruvu ambayo wakazi wa dar wanakunywa kila siku.

10: Mwisho ipo siku inakuja ambapo waandishi wa habari hawatawekwa kizuizini kwa kuripoti njaa eneo husika,au kuripoti kero za maji eneo usika Wakati watanzania karibu asilimia 75% hawana maji safi na salama.

Nasisitiza ipo siku inakuja watu wote wa nchi hii watakuwa na furaha kwa pamoja na kupaza sauti zao kuongea ukweli na kuwaambia watawala kuwa hapana ni hapana na ndio ni ndio tena kupitia chombo chochote cha habari iwe radio,iwe TV.

Hapo ndipo watanzania wote kusini kasikazini magharibi,Mashariki tutakuwa tukiishi kwa furaha sio woga na hofu tutakuwa tukisherekea sikukuu kama hizi kwa tabasamu sio hasira.

Naomba Mungu aendelee kutupa nguvu na akili za kuongea ukweli na kutenda mengi yaliyo mema maana safari bado ni ndefu lakini ipo siku inakuja .

Mungu ibariki Tanzania wabariki na watu wake wanaofuata misingi yako.

"Merry Xmas to all Tanzanians " naipenda sana Tanzania

[HASHTAG]#togetherwecan[/HASHTAG].
Umeongea maneno ya maana mola akujaalie kwa hekima zako ila kweri IPO Siku kila goti litapigwa.
 
Hii ni mojawapo ya post za kipumbavu sana mwaka huu! Nenda Somalia basi ukapate huo Uhuru!!
We sio mzima mahali pako milembe. Mini ambacho unaona kwako sio cha kweri katika hii post?
 
Mimi tatizo sitetei vyama natetea "watu"

Tanzania isingekuwa huru ungeshinda kwenye mitandao? Jaribu kuishi North Korea kwa week moja ndio utajua nini maana ya kukosa uhuru. Watanzania tunatia fora kwa kujitungia matatizo.
 
Kutetea hoja kwa kujificha kwenye uharifu wa wengine ni "upumbavu"
 
Ujumbe muruwa kabisa ila technically upo vizuri kutupa mawe gizani. Hongera mkuu
 
Ukiona Watu hawajisikii kuwa huru ndani ya nchi yao kuna tatizo kubwa katika uongozi.

Maendeleo katika Taifa Ni pamoja na raia kujiona huru katika nchi yao.

Malalamiko yaliyopo yanaashiria kutokuwepo haki,usawa,umoja na mshikamano. Taifa litasogea hatua kadhaa kimaendeleo ikiwa Hekima na busara za viongozi zitadhihirishwa.

Nasikitika kuona wenye kujiita wasomi wanaacha kujadili maudhui na kujikita kumjadili mtoa mada,some immaturity!
 
Ni kweli kuna tatizo wa Uhuru wakujieleza na kutoa maoni lakini dhana hii waingalie kwa darubini kali kwa kuwa madhara yake kwa taifa ni makubwa. Watu wetu ni wapole kwenye busara nyingi waache watoe waliyonayo mioyoni mwao wasije wakasemewa na mawe, ikija kuwa hivyo itakuwa haitapendeza. Hofu ujenga chuki na ukatili. Waache tu wasema mengine tuyachukuwe tuyafanyie kazi kwa ustawi wa nchi Yetu. Wacheni wasema Rais wa awamu nya 4 Dr. J. M. Kikwete mwanadiplosia mahiri Africa na pacific alikuwa na msemo wake mzuri sana usemao " Kelele za mlango hazimyimi mwenye nyumba uzingizi" ........ waacheni waseme CCM itaendelea kuwa imara"....
 
Back
Top Bottom