Tanzania timu za soka ni mbili tu!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania timu za soka ni mbili tu!!

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by MtuSomeone, Jan 26, 2009.

 1. MtuSomeone

  MtuSomeone Member

  #1
  Jan 26, 2009
  Joined: Dec 7, 2008
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  This is veeery serious!!
  Manpowalalmikia marefarii na viongozi wa michezo kwa u-Simba na u- Yanga mnakuwa hamuwatendei haki!!
  Duniani watu wanajua Tanzania timu ni mbili tu

  1. Simba
  2. Yanga

  Kama huamini ingia hapa:
  Ultimate guide to soccer teams and clubs - Soccerway

  Asante kwa kuijali nchi yako
   
 2. Exaud J. Makyao

  Exaud J. Makyao JF-Expert Member

  #2
  Jan 26, 2009
  Joined: Nov 30, 2008
  Messages: 1,523
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  MHESHIMIWA Semesozi,
  Sikuamini ulicho andika.
  Nikaingia kwenye Website.
  Nimegundua umeangalia kwa haraka bila kujiuliza lengo la website hiyo Kuorodhesha SIMBA na YANGA tu.

  Kutochunguza kwa makini kunakufanya uwe muongo, kwamba ETI DUNIANI WANAJUA KWAMBA TZ, TIMU NI MBILI TU.

  NIKUSAIDIE KIDOGO,
  Katika WEBSITE hiyo, wanafanya comparison, kwa timu zilizoshiriki WC QUALIFYING na INTERNATIONAL FRIENDLY MATCHES kwa mwaka 2007 na 2008.

  Uko hapo?
   
 3. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #3
  Jan 27, 2009
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,639
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  kona hii huna haja ya kuchambua mambo kwa kina, kwani mwisho wa siku ni jokes tu..:D
   
Loading...