MdengestanfromCuba
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 663
- 735
Unachokisema ni kweli, lakini napingana na wewe jambo moja, kwa huku kwetu kuna mentality fulani hivi ya kutowaamini na IT local, wengi wanawaangalia kwa jicho negative sana, hii inawanyima fursa ya kupata hata tenda muda mwingine, tuwape moyo hata hawa ambao umewazungumzia hapo maana hatua moja huzaa nyingine taratibu tuElimu ya Tanzania mpaka huruma kwa watu wenye ndoto ya kuwa it.
Shuleni nakumbuka kila tukianza mwaka mpya tinajifunza jinsi ya kuwasha computer, ku right click, double click na muda mwingi kucheza game.
Sekondari tumeingia computer lab tunaingia mara moja tu kwa mambo yale yale ya kuwasha computer, mwalim asipokuja ni kucheza game tu.
Form 6 bado nimeenda tunajifunza kuwasha pc, microsoft word, n.k mwalim akiondoka kidogo ni gamea tu
Haya sasa mtu anatoka form 6 yani toka shule ya msingi alichojifunza ni kiwasha pc na mocrosoft word, anataka chuoni asomee computee science kweli !!!! Anadhani kisa kapiga physics na kemia na hesabu basi ndio justification ya kusoma IT, Huu ni udhaifu mkubwa sana kwenye elimu yetu, mwishowe mtu anaishia kukariri tu vitini apate cheti.
HUko vyuoni sijaona cha ajabu kwakweli zaidi ya watu wa IT kuwa wapakuaji maarufu wa series na movies, games na kugeuka kuwa wapiga picha, Kuna kijana alikuja na mtandao unaitw amayoco pale udom ila nikaona ni upuuzi kabisa maana alicopy na kupaste facebook kwa source code zilizorundikana huko mtandoni.
Huyi jamaa wa nala sijaona kama app yake ina umuhimu kivile, naona tu app imebebwa bebwa na promo kibao ila haina kitu kipya, app ya selcom kwangu ni bora mara kumi kuzidi hii ya nala.
kuna jamaa naskia alitengeneza max malipo akapewa bilioni 1 akavuta range rover new model, jamaa nilimshangaa sana.
yote kwa yote projecta nawasapoti ila tu huu mfumo wa elimu yetu unachangia sana tuwe nyuma hii sekta. Yani ingependeza sana kuwe na angalau chule ambazo ni kwajili ya computer kuanzia form 1
Tunakuwa na mashaka na hawa IT wetu maana hata system walizotengeneza wao wenyewe wanasgindwa kurekebisha.Unachokisema ni kweli, lakini napingana na wewe jambo moja, kwa huku kwetu kuna mentality fulani hivi ya kutowaamini na IT local, wengi wanawaangalia kwa jicho negative sana, hii inawanyima fursa ya kupata hata tenda muda mwingine, tuwape moyo hata hawa ambao umewazungumzia hapo maana hatua moja huzaa nyingine taratibu tu
Ukizungumzia mamlaka za serikali ipo wazi kuna Madudu mengi tu katika idara nyingi ikiwemo IT na kuna mambo makubwa mawili yanayopelekeaTunakuwa na mashaka na hawa IT wetu maana hata system walizotengeneza wao wenyewe wanasgindwa kurekebisha.
I
ulicho-ongea ni kweli kabisa IT sio cheti wala elimu ni uwezo imagine mimi sasahivi nimejifunza graphics design, HTML, PHP, CSS, java script, Development & Coding na tayari nina expirience napinga mpunga $100 mpaka $240 per mooths, lakini cha ajabu ukiniuliza elimu yangu nili-ishia darasa la 7 na bado nina ndoto kusomea computer degree ili kuongeza ujuzi zaidi...Ukizungumzia mamlaka za serikali ipo wazi kuna Madudu mengi tu katika idara nyingi ikiwemo IT na kuna mambo makubwa mawili yanayopelekea
- Ule mtindo wa kupeana kazi kwa kujuana
Hii inapelekea kuchukua wasio na uwezo kwa kiasi kikubwa kisa tu anafahamika na mtu fulani (Kumbuka IT hasa programming ni uwezo zaidi kuliko cheti au kupeana shavu)
- Kingine ni kufanya kazi kimazoea (IT ni field ambayo inahusisha activities nyingi ambazo lazima researchs za kitaalamu zihusike ili tu labda mfumo uwe bora siku hadi siku) na pia hapa ni uwajibikaji tu kama ilivyo ukienda hospital ukakutana na huduma mbovu ya nesi n.k
kinacho washinda watu ni uvumilivu wa muda mfupi na changamoto za hapa na pale katika mchakato wa kufikia ndoto zao za kuwa IT lakini siri ni kwamba watu wanachukulia poa sana kwamba social media na ulimwengu wa IT kwa ujumla kwamba inalipa mfano ukitengeneza app yako inayo slove matatizo flani ya watu ukapata users wengi ukapewa ads na google admob utapiga mkwanja mrefu na utapata mtaji wa kuanzisha kitu kingineUnachokisema ni kweli, lakini napingana na wewe jambo moja, kwa huku kwetu kuna mentality fulani hivi ya kutowaamini na IT local, wengi wanawaangalia kwa jicho negative sana, hii inawanyima fursa ya kupata hata tenda muda mwingine, tuwape moyo hata hawa ambao umewazungumzia hapo maana hatua moja huzaa nyingine taratibu tu
vipi man, jamaa wa nala sasa hivi app yake unaionaje!?Elimu ya Tanzania mpaka huruma kwa watu wenye ndoto ya kuwa it.
Shuleni nakumbuka kila tukianza mwaka mpya tinajifunza jinsi ya kuwasha computer, ku right click, double click na muda mwingi kucheza game.
Sekondari tumeingia computer lab tunaingia mara moja tu kwa mambo yale yale ya kuwasha computer, mwalim asipokuja ni kucheza game tu.
Form 6 bado nimeenda tunajifunza kuwasha pc, microsoft word, n.k mwalim akiondoka kidogo ni gamea tu
Haya sasa mtu anatoka form 6 yani toka shule ya msingi alichojifunza ni kiwasha pc na mocrosoft word, anataka chuoni asomee computee science kweli !!!! Anadhani kisa kapiga physics na kemia na hesabu basi ndio justification ya kusoma IT, Huu ni udhaifu mkubwa sana kwenye elimu yetu, mwishowe mtu anaishia kukariri tu vitini apate cheti.
HUko vyuoni sijaona cha ajabu kwakweli zaidi ya watu wa IT kuwa wapakuaji maarufu wa series na movies, games na kugeuka kuwa wapiga picha, Kuna kijana alikuja na mtandao unaitw amayoco pale udom ila nikaona ni upuuzi kabisa maana alicopy na kupaste facebook kwa source code zilizorundikana huko mtandoni.
Huyi jamaa wa nala sijaona kama app yake ina umuhimu kivile, naona tu app imebebwa bebwa na promo kibao ila haina kitu kipya, app ya selcom kwangu ni bora mara kumi kuzidi hii ya nala.
bro jamii yetu imejaa watu wasiojielewa wengi, ukikaza sura kidogo tu kua serious pesa ipo nje nje fursa za kumwaga!ulicho-ongea ni kweli kabisa IT sio cheti wala elimu ni uwezo imagine mimi sasahivi nimejifunza graphics design, HTML, PHP, CSS, java script, Development & Coding na tayari nina expirience napinga mpunga $100 mpaka $240 per mooths, lakini cha ajabu ukiniuliza elimu yangu nili-ishia darasa la 7 na bado nina ndoto kusomea computer degree ili kuongeza ujuzi zaidi...
uko sahihi kabisa mwamba ila mwanzo inakuaga ngumu unakuta mtu hata ku-design logo inamshinda ila ukijituma unafungua pazia nyingine yenye fursa kubwa zaidi...bro jamii yetu imejaa watu wasiojielewa wengi, ukikaza sura kidogo tu kua serious pesa ipo nje nje fursa za kumwaga!
mwanzo haujawahi kua rahisi mkuu, ila once ukisimama ndio umesimama, angalia wajanja wanavyopiga maboya mfano Kalyinda na the likes, kikubwa kichwa kisheheni maarifa mengi na skills ili uwe na uwanja mpana wa kufikiria na kupata new ideas and concepts💡💡uko sahihi kabisa mwamba ila mwanzo inakuaga ngumu unakuta mtu hata ku-design logo inamshinda ila ukijituma unafungua pazia nyingine yenye fursa kubwa zaidi...
siyo kwamba aliibadili ?vipi man, jamaa wa nala sasa hivi app yake unaionaje!?
ahaa ok, sikujua hilo mkuu, ila hii tunaita kubadili gear angani😆😆siyo kwamba aliibadili ?
toka "offline USSD app" mpaka "kind of mobile money transfer for Africans worldwide"
Respect ya nguvu kaka mambo madogo yamebeba makubwa na bidii haijawahi kumuangusha mtu inawezekana hata kama ni kazi za mitandaoni ila tukiweka malengo tunaweza tukaingia kwenye list ya mark zuckerberg (mmiliki wa facebook) & bill gates (mwanzilishi wa microsoft)mwanzo haujawahi kua rahisi mkuu, ila once ukisimama ndio umesimama, angalia wajanja wanavyopiga maboya mfano Kalyinda na the likes, kikubwa kichwa kisheheni maarifa mengi na skills ili uwe na uwanja mpana wa kufikiria na kupata new ideas and concepts💡💡
inawezekana japo kua hata jeff bezos wa kibongobongo😆😆Respect ya nguvu kaka mambo madogo yamebeba makubwa na bidii haijawahi kumuangusha mtu inawezekana hata kama ni kazi za mitandaoni ila tukiweka malengo tunaweza tukaingia kwenye list ya mark zuckerberg (mmiliki wa facebook) & bill gates (mwanzilishi wa microsoft)
hakuna kinacho shindikana chini ya jua hata kama safari itakua mbali lakini mbeba maono hafi...inawezekana japo kua hata jeff bezos wa kibongobongo😆😆
tunapokwama wabongo wengi hatuna maarifa sahihi kutokana na elimu yetu pia suo watafutaji, just imagine tech kama team viewer au any desk, ni just networking na programming concepts tu ambazo mtu alikua na uelewa deep kidogo akafikiria, lakini haya yote yanahitaji uwe na kichwa kilichochangamkahakuna kinacho shindikana chini ya jua hata kama safari itakua mbali lakini mbeba maono hafi...
ni kweli kabisa mkuu kua na akili iliochangamka ni jambo la msingi sana na ubunifu pia ni nguzo ya mafanikio mfano sasahivi ukifungua blog uka-posti makala ya kiswahili utachelewa sana kupata trafki (watembeleaji) ila ukiwa na maarifa uka-posti contents za kiingereza wakati unaamini unachokifanya ukafanikiwa ku-unganisha blog yako na google adsense ukapewa ads (matangazo) utapata karibia $150 kila mwezi...tunapokwama wabongo wengi hatuna maarifa sahihi kutokana na elimu yetu pia suo watafutaji, just imagine tech kama team viewer au any desk, ni just networking na programming concepts tu ambazo mtu alikua na uelewa deep kidogo akafikiria, lakini haya yote yanahitaji uwe na kichwa kilichochangamka