yegella
JF-Expert Member
- Nov 18, 2010
- 3,113
- 1,102
kweli jina linaelezea
usipowaza ngono una ugonjwa
tena hatari sana.
wewe mbili hatusemi mtu asiwaze ngono hapana lakini muwe mnapita na majukwaa mengine, msiendeshwe na ngono
kweli jina linaelezea
usipowaza ngono una ugonjwa
tena hatari sana.
Humu ndani hatukatai kuchangia hoja za mapenzi lakini kinacholeta sintofahamu ni baadhi ya watu wao kutwa mapenzi,wakiamka mapenzi,mchana mapenzi lakini nenda majukwaa mengine hautamwona hata kwa kupotea njia,sasa unajiuliza hawa wana kazi ya kupromoti mapenzi ama?asikudanganye mtu,akiwazacho ndo kinachomtafuna ubongo wake na kwake hiyo inamchukulia mda sana
Ndugu zetu punguzeni kuwaza mapenzi,haya mapenzi yapo na hayana jipya,tujadili maisha ya watoto wetu baadae,mapenzi hayatawasaidia wanetu katu wala hawana cha kujifunza katika mapenzi,tukubali tuwaache wale waliopevuka leo waongee kuhusu mapenzi
Hapa nakubali kutokukubaliana na wewe kwa sababu zifuatazo:
1. Jukwaa la siasa ambalo wewe ndio unaamini kwamba ni bora ndio jukwaa linaloongoza kwa mambumbu na mamluki ambao hawachangii kile wanachoamini bali kwa maelekezo ya mabwana zao.
2. Kama uanamume ni kushusha hizo nondo unazozisema basi wanamume wanaoshusha nondo wanapatikana Jukwaa la Teknolojia.
3. MMU- ni mapenzi, mahusiano na urafiki, kwa hiyo wewe unalazimisha hili jukwaa liitwe jukwaa la M! hii sio sahihi na ni kupotoka.
4. Binadamu ambaye hana feelings za kimapenzi yeye ni kuwaza siasa muda wote tu huyo atakuwa anakabiliwa na zaidi ya tatizo.
5. Sijawahi kuona jukwaa la MMU liki create uadui baina ya member kwa dini zao au kwa mitazamo yao, kwa maoni yangu hili jukwaa ni user friend.
6. Jukwaa linaloendekeza ngono ni jukwaa la mambo ya kikubwa na unajiunga kwa hiyari yako mwenyewe, kwahiyo si sahihi kulituhumu jukwaa hili pendwa ambalo limejaa watu wanaohitaji kujiachia wewe ukaleta mi stress yenu ya jukwaa la siasa.
Ukiwa mpumbavu huwezi jifanya sio mpumbavu.
Nyie ni walinzi?Maana mnaonekana nyendo za kila mtu mnazijua. Nyie hua mnatoa michango yenu saa ngapi na kuangalia kina fulani wako wapi saa ngapi?mkuu nzi hakuna mtu anaelazimisha watu wote waende jukwaa la siasa..basi waende hata majukwa mengine lakini siyo 24/7 yeye ni ngono tu hivi haya ndiyo matatizo ya msingi ya mtanzania
Upumbavu ni tusi?Wanshangaza!!matusi ya nini tena MAMA?kwa nini unashindwa kujiheshimu lakini ukiwa kama mwanamke?utajifunza lini kuongea na watu waungwana na wanaojiheshimu kama mimi!?
Kwa mtindo huu utaishia kujifariji umu mwenyewe na itakula kwako maisha yako yote.
Smilehapo kwenye
1.hakuna sehemu nimesema jukwaa la siasa ndio bora zaidi kuliko majukwaa yote,ila nafikiri mwenyewe umekubali lile jukwaa ni babu kubwa,kuna kipindi linatikisa nchi kabisa..umesema wachangiaji wa kule ni mambumbu na wanafata maelekezo ya mabwana zao,vp we ujawai changia kule mkuu?
Kwenye
3.we ndio umepotoka,nionyeshe post za urafiki umu.
Kwenye
4.feelings zipo za kutosha hapa usiwe na wasi,alafu mkuu mbona umekomaa na kuliponda jukwaa la siasa linakupa stress sana?au unacomplicate maisha tu.
Kwenye
5.mimi sijawai ata kuingia ilo jukwaa la wakubwa,mi sio type ya wale wanaoshinda umu kujifaliji kutokana na upweke wao,yani kuna mda unajiuliza uyu mchangiaji mzuri umu anapati wapi mda wa kupafom anachochangia ikiwa mda wote yuko bize na keyboard!
kama wanaokuitaga mpumbavu wanakwambia ni sifa nzuri..basi kachek kamusi ila sio ya Kimachame.
we Mmachame una matatizo gani??nini kinakusumbua Mama? unaonekana kisaikolojia hauko sawa kabisa.
Wale wale. . .wakikosa hoja basi "WANAKUJUA KULIKO UJIJUAVYO".
mtu anayekwambia ukweri inatakiwa umshukuru sana..yani ukipitia michango yako hapa Jf unaonekana kama mtu aliyekata tamaa,na mpweke sana matokeo yake ni kujaribu kuziba ilo gap bila mafanikio..tafuta mshauri maalum atakusaidia au tafuta PUMZIKO.
mkuu nzi hakuna mtu anaelazimisha watu wote waende jukwaa la siasa..basi waende hata majukwaa mengine lakini siyo 24/7 yeye ni ngono tu hivi haya ndiyo matatizo ya msingi ya mtanzania