Tanzania taifa la mapenzi,watu wanawaza mapenzi mda wote.

Umenikumbusha ngoja niende kwenye kideti changu nikakipige walau cha fastafasta.......Dah sasa sijui ntapata wapi Ryder usiku huu
 
mleta mada najua watakusakama sana lakini ujumbe umefika unakuta jitu lina post zaidi 3000 zote za ngono badilikeni siyo kila siku ngono wakati taifa linateketea
 
mwingine uyu,tena wabongo siku tunakulupuka kama mbuzi vile hadi kwenye meza za ofisini mnamangana,hapo kuna kukumbuka condom kweli au ndio mwendo wa kuchovya??
 
Hapa nakubali kutokukubaliana na wewe kwa sababu zifuatazo:
1. Jukwaa la siasa ambalo wewe ndio unaamini kwamba ni bora ndio jukwaa linaloongoza kwa mambumbu na mamluki ambao hawachangii kile wanachoamini bali kwa maelekezo ya mabwana zao.
2. Kama uanamume ni kushusha hizo nondo unazozisema basi wanamume wanaoshusha nondo wanapatikana Jukwaa la Teknolojia.
3. MMU- ni mapenzi, mahusiano na urafiki, kwa hiyo wewe unalazimisha hili jukwaa liitwe jukwaa la M! hii sio sahihi na ni kupotoka.
4. Binadamu ambaye hana feelings za kimapenzi yeye ni kuwaza siasa muda wote tu huyo atakuwa anakabiliwa na zaidi ya tatizo.
5. Sijawahi kuona jukwaa la MMU liki create uadui baina ya member kwa dini zao au kwa mitazamo yao, kwa maoni yangu hili jukwaa ni user friend.
6. Jukwaa linaloendekeza ngono ni jukwaa la mambo ya kikubwa na unajiunga kwa hiyari yako mwenyewe, kwahiyo si sahihi kulituhumu jukwaa hili pendwa ambalo limejaa watu wanaohitaji kujiachia wewe ukaleta mi stress yenu ya jukwaa la siasa.
 
mleta mada najua watakusakama sana lakini ujumbe umefika unakuta jitu lina post zaidi 3000 zote za ngono badilikeni siyo kila siku ngono wakati taifa linateketea

Sasa muzee taifa likiteketea,hapo suala la ngono si lazima lijitokeze ili kuepusha extinction ya watanzania?
 
mleta mada najua watakusakama sana lakini ujumbe umefika unakuta jitu lina post zaidi 3000 zote za ngono badilikeni siyo kila siku ngono wakati taifa linateketea

yani acha tu mkuu,unaweza ingia umu ukaona wengine kama member wapya kumbe wakongwe wanakufa na MMU tu.
 
ukitaka mada ichangiwe anzisha inayohusu kugonoka utawaona dk chache iko page ya tano...
 
kweli jina linaelezea
usipowaza ngono una ugonjwa
tena hatari sana.
 
kweli jina linaelezea
usipowaza ngono una ugonjwa
tena hatari sana.
Labda wenzetu wanafanya mapenzi ya jinsia moja sasa wanahisi kutengwa, maana topic hizo hapa hazina nafasi thats way u never know where is complain coming from!!
 
Mkuu utapondwa sana kwa mada hii lakini usijali ukiona hivyo basi jua ujumbe umefika na kumbuka daima ukweli unauma kuliko kidonda kibichi...

Humu ndani hatukatai kuchangia hoja za mapenzi lakini kinacholeta sintofahamu ni baadhi ya watu wao kutwa mapenzi,wakiamka mapenzi,mchana mapenzi lakini nenda majukwaa mengine hautamwona hata kwa kupotea njia,sasa unajiuliza hawa wana kazi ya kupromoti mapenzi ama?asikudanganye mtu,akiwazacho ndo kinachomtafuna ubongo wake na kwake hiyo inamchukulia mda sana

Ndugu zetu punguzeni kuwaza mapenzi,haya mapenzi yapo na hayana jipya,tujadili maisha ya watoto wetu baadae,mapenzi hayatawasaidia wanetu katu wala hawana cha kujifunza katika mapenzi,tukubali tuwaache wale waliopevuka leo waongee kuhusu mapenzi

Sasa wewe umeshakuwa na wapenzi mpaka kila staili na kila kiwanja umefika iweje leo mapenzi yakuweke roho juu hivyo ama tuamini umebarehe leo?kama si ulimbukeni tuiteje?
 
Hapa chaguo ni lako, hakuna aliyekulazimisha au kukuvuta shati kuja hapa.

What's on JamiiForums

Ndugu zetu punguzeni kuwaza mapenzi,haya mapenzi yapo na hayana jipya,tujadili maisha ya watoto wetu baadae,mapenzi hayatawasaidia wanetu katu wala hawana cha kujifunza katika mapenzi,tukubali tuwaache wale waliopevuka leo waongee kuhusu mapenzi
Kwahiyo wewe kwa akili yako maisha ya watoto yanajadiliwa kwenye siasa pekee?Au unadhani mtoto anahitaji kula na kulala tu toka kwa mzazi wake.?
 
Back
Top Bottom