Tanzania sio nchi masikini

Tunafanya km nepal safisha safisha kwnz hawatakiwi kuishi ni risasi tu
Ni jambo jema ila huo ndio umwagaji damu niliokua nauzungumzia, huwezi kupata haki kwa mdomo kama huwezi vita ni bora ukatulia maisha yaendelee...
 
Ujinga ni kuamini mmebarikiwa kila kitu.
 
Ni sawa je unawaza kuhusu wajukuu zako kuwa watakuja kuishi kwenye nchi yao kama watumwa?
Hapa panyewe tulipo ni kama watumwa, sina haja ya kutumia nguvu kuwaza maisha ya mtu mwingine ajaye, ninacho weza kufanya kwa sasa ni kumtengenezea njia ya maisha yake hapo baadae..
 
Hapa panyewe tulipo ni kama watumwa, sina haja ya kutumia nguvu kuwaza maisha ya mtu mwingine ajaye, ninacho weza kufanya kwa sasa ni kumtengenezea njia ya maisha yake hapo baadae..
Wewe hapo kwa sasa una Access ya kununua hata ardhi heka500 wajukuu zako hadi awe na mabilioni ya shilingi kumilki hiyo ardhi weka miaka 30 mbele tu kama tutaendelea kuongozwa na ccm
 
Nchi tajiri yenye rasilimali zote isipokuwa rasilimali watu(watu ndio wana umasikini wa akili).
 
Nchi tajiri yenye rasilimali zote isipokuwa rasilimali watu(watu ndio wana umasikini wa akili).
Hasa vizazi hivi vya ujima miaka ya 90 wakifutika nchi itafanya mageuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…