Tanzania - Sarafina Replayed


Kigarama

Kigarama

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2007
Messages
2,479
Likes
26
Points
145
Kigarama

Kigarama

JF-Expert Member
Joined Apr 23, 2007
2,479 26 145
Sarafina ni Filamu iliyotengenezwa mwishoni mwa miaka ya themanini ikionyesha (depict) hali ya matarajio ya kuvunjiliwa mbali kwa mfumo wa Kibaguzi nchini Afrika ya kusini. Filamu hiyo ilitengenezewa nchini Zimbabwe.

Filamu hiyo nimeingalia tena leo mara mbili mfululizo na kufikia jitmai la kuamini moja kwa moja kwamba inahusiana na hali ya kisiasa ilivyo hapa nchi kwetu Tanzania. kwenye Sarafina kuna:

1. kuna Vitabu lukuki mashuleni vilivyojaa uongo wa kuwaptosha wanafunzi wa Kiafrika

2. Kuna wasaliti na vizabizabina

3. Kuna vilio na nyimbo za kimapinduzi

4. Kuna waalimu mafidhuli na wanafunzi wazalendo

5. Kuna polisi vibaraka na wananchi wanaoonewa

6. Kuna mifumo ya sheria isiyofanya kazi na watawala wasiojali.

7. Kuna............

Nenda kaiangalie tena na uilinganishe na Tanzania yetu ya sasa.
 
nickname

nickname

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2009
Messages
524
Likes
66
Points
45
nickname

nickname

JF-Expert Member
Joined Dec 20, 2009
524 66 45
Sarafina! (film)

From Wikipedia, the free encyclopedia
Sarafina!
220px-Sarafina_poster.jpg

Theatrical release poster
Directed by Darrell Roodt
Written by Mbongeni Ngema
William Nicholson
Starring Leleti Khumalo Whoopi Goldberg Miriam Makeba John Kani
Music by Mbongeni Ngema Stanley Myers Hugh Masekela
Cinematography Mark Vicente
Editing by David Heitner
Studio Miramax Films BBC
Distributed by Hollywood Pictures
Release date(s) September 18, 1992
Running time 117 minutes
Country United States South Africa
Language English

Sarafina! is a 1992 South African film starring Leleti Khumalo, Whoopi Goldberg, Miriam Makeba, John Kani and Tertius Meintjies.

The plot centers on students involved in the Soweto Riots, in opposition to the implementation of Afrikaans as the language of instruction in schools. The character Sarafina (Leleti Khumalo) feels shame at her mother's (Miriam Makeba) acceptance of her role as domestic servant in a white household in apartheid South Africa, and inspires her peers to rise up in protest, especially after her inspirational teacher, Mary Masombuka (Whoopi Goldberg) is imprisoned.

Production
Filming
The film was shot on location in Soweto and Johannesburg, South Africa. Darrell Roodt directed, with the script by Mbongeni Ngema and William Nicholson. Leleti Khumalo reprised her role as Sarafina, with Whoopi Goldberg as Mary Masombuka and Miriam Makeba as Angelina. Companies involved included the British Broadcasting Corporation. In the United States, the MPAA, rated the film PG-13 for scenes of apartheid-driven violence. The extended version, released in 1993, was rated R for strong scenes of violence.
 
nickname

nickname

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2009
Messages
524
Likes
66
Points
45
nickname

nickname

JF-Expert Member
Joined Dec 20, 2009
524 66 45
Sarafina ni Filamu iliyotengenezwa mwishoni mwa miaka ya themanini ikionyesha (depict) hali ya matarajio ya kuvunjiliwa mbali kwa mfumo wa Kibaguzi nchini Afrika ya kusini. Filamu hiyo ilitengenezewa nchini Zimbabwe.

Filamu hiyo nimeingalia tena leo mara mbili mfululizo na kufikia jitmai la kuamini moja kwa moja kwamba inahusiana na hali ya kisiasa ilivyo hapa nchi kwetu Tanzania. kwenye Sarafina kuna:

1. kuna Vitabu lukuki mashuleni vilivyojaa uongo wa kuwaptosha wanafunzi wa Kiafrika

2. Kuna wasaliti na vizabizabina

3. Kuna vilio na nyimbo za kimapinduzi

4. Kuna waalimu mafidhuli na wanafunzi wazalendo

5. Kuna polisi vibaraka na wananchi wanaoonewa

6. Kuna mifumo ya sheria isiyofanya kazi na watawala wasiojali.

7. Kuna............

Nenda kaiangalie tena na uilinganishe na Tanzania yetu ya sasa.
Acha uongo kaka haikutengenezwa mwishoni mwa miaka ya themanini na haikutengenezwa Zimbabwe
 
G

Gurtu

JF-Expert Member
Joined
May 15, 2010
Messages
1,210
Likes
10
Points
135
G

Gurtu

JF-Expert Member
Joined May 15, 2010
1,210 10 135
Acha uongo kaka haikutengenezwa mwishoni mwa miaka ya themanini na haikutengenezwa Zombabwe
Kwani hicho ulichoonyesa katika #2 haijatosheleza kuhusu uwongo wake?
 
M

Malunde-Malundi

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2008
Messages
1,287
Likes
1
Points
0
M

Malunde-Malundi

JF-Expert Member
Joined Jan 10, 2008
1,287 1 0
thanks nitaenda kwa undani zaidi kuhusu hii kitu i will come clean
 
nickname

nickname

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2009
Messages
524
Likes
66
Points
45
nickname

nickname

JF-Expert Member
Joined Dec 20, 2009
524 66 45
Kwani hicho ulichoonyesa katika #2 haijatosheleza kuhusu uwongo wake?
Hasira kaka nimemuonesha kwenye # 2 ,lakini nikaona haitoshi.Unajua katika dunia hii ya utandawazi huwezi kudanganya watu
 
Obi

Obi

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2009
Messages
376
Likes
5
Points
35
Obi

Obi

JF-Expert Member
Joined Jul 6, 2009
376 5 35
U dont have to be south african to relate to the film, u just have to watch it and feel like a part of the struggle. It got me wondering, how many of us would risk our lives to save the nation and make a change? Most of us would just sit and hope someone else from somewhere else would come and make things better for us. I really salute the people who fought for freedom because it took a lot to make that bold step. The apartheid era was soo brutal. But atleast it is now a new day.
 
M

Malunde-Malundi

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2008
Messages
1,287
Likes
1
Points
0
M

Malunde-Malundi

JF-Expert Member
Joined Jan 10, 2008
1,287 1 0
very inspirational movie, no need to narate so much your request is simple, members go to movie shop, have one, watch it clearly and implement themes, im sure we will understand what this heading all about
 

Forum statistics

Threads 1,238,917
Members 476,275
Posts 29,336,594