Tanzania, Rwanda now turn to 'quiet diplomacy'

Tanzania, Rwanda now turn to 'quiet diplomacy'

Niwemugizi:swala dogo la uelewa ni kwamba Rais kikwete aliwakosea wenzie kwa kupayuka kwenye mkutano kama ni ushauri as alivyosema alitakiwa afanye faragha na mwezie na sio kufyatuka , Kwa nafasi zao za uongozi wanapaswa kuheshimiana hakuna mnyonge au mbabe. Ila kwa kiongozi wetu kwa kuwa night mzee wa umaarufu na mipasho hakujua watafika huko alijua pk ni kama Dr slaa anavyo mtoleaga vijembe PK sivyo kelele za bawaba......... mwenye nyumba? Hivyo kwa ustaarabu JK Alitakiwa kuomba raia wa Rwanda Msamaha, mbona mtwara hamzungumzi nao mnatuma wa jeida wawapige Tutoe boriti kwenye jicho letu ndipo tutaona kibanzi kwenye jicho la wenzetu nashukuru kwa kunielewa

Sasa swali langu ni dogo tu, kama walisemwa marais watatu mbele ya hadhara kwa nini alieumia ni PK peke yake? After-all wakati Kikwete anasema vile hakuwa na kosa maana matatizo yao ndiyo yanayosababisha instability kwetu so bora alimwage.By the way wewe unaona tumepungukiwa na nini mpaka sasa
 
Kumbe this is the reason why some person is not able to dine with the rest....aha

....The Citizen newspaper in Dar es Salaam (which, like The EastAfrican, is published by the Nation Media Group) reported that of the 8,509 illegal immigrants who had left the country 5,521 returned to Rwanda; 2,744 to Burundi and 244 to Uganda, but social and political commentators in Kigali interpreted the directive as an expulsion of Rwandan refugees from Tanzania.Tensions between Rwanda and Tanzania have been simmering for a long time. They bubbled to the surface earlier this year when Rwandan intelligence agents intercepted and arrested Gen Stanislas Nzeyimana alias Bigaruka Izabayo, a senior FDLR commander, on his way out of Tanzania, where he had met senior regime and military officials.
Tanzanian military officials privately concede that they invited and met Gen. Nzeyimana. They say they consulted the commander ahead of Tanzania's planned deployment of troops as part of the UN Intervention Brigade in eastern Congo.

All eyes on Dar, Kigali ahead of meeting : Analysis-africareview.com
 
Back
Top Bottom