Tanzania, Rwanda now turn to 'quiet diplomacy'

Huyu General Richard Sezibera ni mwanadiplomasia mzuri. Anafaa hata kuwa mrithi PK atakapostaafu (2017?) ...
 
Koborer,

..taarifa uliyo-attach inasema tangu 2010 Kagame amekosa ku-attend mikutano ya viongozi wa EAC inayofanyika Tanzania.

..nadhani tatizo hili litaendelea mpaka pale Kagame na Kikwete watakapoondoka madarakani.

..hata ile response ya Kagame to Kikwete's advice, inaonyesha kwamba kuna ugomvi na chuki baina yao. unless, it is Robert Mugabe talking about the leadership in Washington or London, sijawahi kusikia kiongozi mmoja akiporomosha matusi kwa kiongozi mwenzake kama alivyofanya Paul Kagame dhidi ya Jakaya Kikwete.

..it is very difficult to sort out matatizo yaliyoletwa na VIONGOZI/MARAISI. things would have been much easier kama ingekuwa ni tatizo lililotokana na viongozi wa chini kama mawaziri, mabalozi, etc etc.
 
Last edited by a moderator:
Huyu General Richard Sezibera ni mwanadiplomasia mzuri. Anafaa hata kuwa mrithi PK atakapostaafu (2017?) ...

sidhani kama itakuwa rahisi kwa PG kuachia madaraka hapo 2017 ya M7 lazima yatajirudia na isitoshe yeyote atakayerithishwa mikoba, kama ikitokea, lazima atakuwa kwanza ni Mtusi!
 
Hakuna Tatizo kwa Kagame kumsema vibaya raisi wetu kwani hata sisi huwa tunamsema vibaya... nadhani tatizo si Kagame tatizo lipo kwetu wananchi... ni Dhaifu

Wewe hakika si Mtanzania !!
 
Hakuna Tatizo kwa Kagame kumsema vibaya raisi wetu kwani hata sisi huwa tunamsema vibaya... nadhani tatizo si Kagame tatizo lipo kwetu wananchi... ni Dhaifu

Wewe sijui unawaza kutumia nini ndugu yangu, mafano kama wewe unamtukana mke wako nyumbani kwako kwa hiyo ukipita barabarani ukakuta mke wako anatukanwa utasema hakuna shida kwa sababu huwa na wewe unamtukana nyumbani.Sijui uliishia darasa la ngapi ndugu yangu
 
Alaa MAtusi ya nini Sasa ungekuwa karibu ningekutia dole................La Macho!

Raisi babako nini unamuona kila afanyacho unaona kiko sawa! mwenzio huwa anawashauri wake so akikosea hana cha kusema zaidi atajiuma uma tu... kua uerevuke sio kudhani kila mtu yupo perfect akikosea lazima useme ili asijekufanya kwa mwingine.... tutakaa au kubaki peke yetu hapa east africa kwa ugomvi wa kijinga kijinga na wewe kwa matusi yako siwezi gombana na wewe... nitakuacha tu ukikua utaacha. najua siku hizi watoto humu ni wengi JF

Watu hapa hawapendi kuambiwa ukweli...usishangae kuitwa eti wewe ni mtutsi kama mimi. Ila usijali, sisi hatubagui. Karibu kigali hapa utapata kazi kwa sababu sisi hatuulizi work permit kama wewe ni East African.
 
Wewe sijui unawaza kutumia nini ndugu yangu, mafano kama wewe unamtukana mke wako nyumbani kwako kwa hiyo ukipita barabarani ukakuta mke wako anatukanwa utasema hakuna shida kwa sababu huwa na wewe unamtukana nyumbani.Sijui uliishia darasa la ngapi ndugu yangu
Umeongea kama mtu asiye na ubongo.... wewe ugomvi wa Kikwete na Kagame umeamua kukaa upande wa Kikwete hata kama amekosea basi sababu ni Raisi wako so mtu yeyote akichangia kumkosoa umshambulie kwa utashi wako no no no... kuwa makini pima ndio uamue... kikwete kakosea kumsema kagame Hadharani hata sisi tulipokuwa Shule kiranja akikosea hachapwi mbele ya umati wa Shule.... anaadhibiwa Staff room.... Kikwete angefanya hata ziara kumshauri kagame... kikwete Hajui Ugomvi halisi wa hao jamaa kwani Rwanda bado kuna ukabila.... na uroho wa Madaraka.... Unataka siku Na kagame Aje aseme Kikwete na CCM kaeni chini na CDM kwani ulimuibia kura hivyo muunde serikali ya Umoja..... unadhani kuna hata Mwana CCM mmoja atakubaliana na hilo???????????

Unapo post kitu humu uwe unaonesha kama wewe ni GT na sio ali mradi Umechangia post........

Kikwete amemkosea Adabu Kagame. full stop. na Ugomvi wao usitufanye na sisi tugombane..... Nakuomba kila siku uwe unatumia mizani kwenye Hukumu... sio kuchukua Upande mmoja tu.
 
Usitake kujifanya eti wewe ndiyo zinachaji mkuu, nachokuambia hata siku moja sikubaliani na wewe usilete habari za kiranja sijui monita wala haziiingiii akilini.Kikwete alisema Mseven akaongee na waasi wa Uganda waliopo kaskazini mwa Uganda,akamwambia Kabila akaongee na M23 na pia akamwambia Kagame akaongee na FDRL sasa kwa nini aliewashwa ni Kagame pekeake kwani mbona walioshauriwa walikuwa zaidi yake?
 
Watu hapa hawapendi kuambiwa ukweli...usishangae kuitwa eti wewe ni mtutsi kama mimi. Ila usijali, sisi hatubagui. Karibu kigali hapa utapata kazi kwa sababu sisi hatuulizi work permit kama wewe ni East African.

unajua mkuu rwanda na tanzania ni kama mexico na usa,kwa mtu wa mexico kuingia states unahitaji visa lakini kwa american kuingia mexico wala huhitaji visa unajua ni kwanini hakuna mtanzania wa kawaida hata vijijini mwenye mpango wa kwenda kuishi rwanda nchi ni ndogo yenye resources chache, lakini ukiruhusu kwa rwandese kuhamia kienyeji tanzania unaweza kushitukia nusu ya nchi imehamia hapa!!!na ndiyo sababu hata viongozi wenu wanalalamika raia wakirudishwa nyumbani kutoka tz, unajua kwanini eac ni very unpopular hapa tz kwa sababu ya hizi issue za federation,free visa movement na sharing of land watz hatutaki kusikia hayo mambo!!!hatutaki mambo ya congo yaje huku!!!!
 
Sawa mkuu...hakuna mtu anaetaka kuja huko. Hao mnaoita wahamiaji haramu ambao sisi tunawaita naturalized tanzanians ambao wamenyanyaswa, wakaporwa mali zao wote wamerudi kwetu na tutawapokea sio kwa sababu ni wanyarwanda, bali ni kwa sababu mmewafukuza. Mnafukuza mzee wa miaka themanini eti na yeye ni jambazi!! Ana cheti cha uraia!!! Haidhuru kwa sababu sisi ni signatory wa UN lazima tutimize wajibu wetu. Nchi yetu haiendeshwi kwa hisia (emotion) inaendeshwa kwa sheria. Kagame hawezi kuamka siku moja, eti kwa sababu Kikwete amemuambia aongee na FDLR akanza kuwafukuza watanzania waishio Rwanda. Kwa sababu, aliyoyasema kikwete kwenu mnaona ni mambo ya kawaida ila kwangu mimi ambao kizazi changu chote kiliuawa mwaka 1994 kunaiambia eti nikae na muuaji aliyeuwa familia yangu yote ni kutonesha kidonda. Let me end here.
 
Hakuna Tatizo kwa Kagame kumsema vibaya raisi wetu kwani hata sisi huwa tunamsema vibaya... nadhani tatizo si Kagame tatizo lipo kwetu wananchi... ni Dhaifu

nina walakin na uraia ama uzalendo wako
 
Usitake kujifanya eti wewe ndiyo zinachaji mkuu, nachokuambia hata siku moja sikubaliani na wewe usilete habari za kiranja sijui monita wala haziiingiii akilini.Kikwete alisema Mseven akaongee na waasi wa Uganda waliopo kaskazini mwa Uganda,akamwambia Kabila akaongee na M23 na pia akamwambia Kagame akaongee na FDRL sasa kwa nini aliewashwa ni Kagame pekeake kwani mbona walioshauriwa walikuwa zaidi yake?

Niwemugizi:swala dogo la uelewa ni kwamba Rais kikwete aliwakosea wenzie kwa kupayuka kwenye mkutano kama ni ushauri as alivyosema alitakiwa afanye faragha na mwezie na sio kufyatuka , Kwa nafasi zao za uongozi wanapaswa kuheshimiana hakuna mnyonge au mbabe. Ila kwa kiongozi wetu kwa kuwa night mzee wa umaarufu na mipasho hakujua watafika huko alijua pk ni kama Dr slaa anavyo mtoleaga vijembe PK sivyo kelele za bawaba......... mwenye nyumba? Hivyo kwa ustaarabu JK Alitakiwa kuomba raia wa Rwanda Msamaha, mbona mtwara hamzungumzi nao mnatuma wa jeida wawapige Tutoe boriti kwenye jicho letu ndipo tutaona kibanzi kwenye jicho la wenzetu nashukuru kwa kunielewa
 
unajua mkuu rwanda na tanzania ni kama mexico na usa,kwa mtu wa mexico kuingia states unahitaji visa lakini kwa american kuingia mexico wala huhitaji visa unajua ni kwanini hakuna mtanzania wa kawaida hata vijijini mwenye mpango wa kwenda kuishi rwanda nchi ni ndogo yenye resources chache, lakini ukiruhusu kwa rwandese kuhamia kienyeji tanzania unaweza kushitukia nusu ya nchi imehamia hapa!!!na ndiyo sababu hata viongozi wenu wanalalamika raia wakirudishwa nyumbani kutoka tz, unajua kwanini eac ni very unpopular hapa tz kwa sababu ya hizi issue za federation,free visa movement na sharing of land watz hatutaki kusikia hayo mambo!!!hatutaki mambo ya congo yaje huku!!!!

Well said mkuu.......
 
nina walakin na uraia ama uzalendo wako

Uzalendo kwenye mali za nchi au ushabiki wa kijinga kati ya ugomvi wa Kagame na Kikwete?

Jaribu kutofautisha ushabiki na uzalendo... Kama umeona Watu wanaiba rasilimali za nchi mfumko wa bei,barabara hazijengwi hadi kwa misaada ya Wafadhiri wakati kodi zinakusanywa, majo ya shida mimi naoga kwa maji ya kisma kufua maji ya kisima ambayo nanunua,elimu mbovu shule mbaya, mikataba mibovu ya madini viwanda vimeuzwa nyumba za serikali wamejiuzia na niliweka list yote ambayo raisi anatakiwa afanye unaweza kulia upi ni uzalendo???????? hadi ukufanye uwe na wasiwasi na mimi!!!!!!!!!!! Griiiiiiiiiiiiiiiii chafya ungekuwa karibu ningekuzabua makofi.....

Siwezi tetea parasite hata sikumoja
 
Back
Top Bottom