William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,466
Heshima mbele sana Great Thinkers:-
- Sio siri kwamba Tanzania, tunasumbuliwa sana na tatizo moja sugu kuliko yote nalo ni tatizo la Rushwa. Miaka nenda miaka rudi tunahangaika pale pale na infact ndio kwanza hili tatizo linazidi kushamiri, I mean how did we get here na hili tatizo?
- Nimesikia viongozi wengi tena kwa miaka mingi sana wakilia sana kuhusu rushwa, lakini sijawahi kusikia wakisema alternative ya rushwa ni nini hasa?
- Wa-Tanzania tufike mahali tujulize tulifikaje hapa na Rushwa, wapi tunakwenda nayo? na What is the alternative?
William @DSM City!
System overhaul!
Unabomoa kila mahali, na unaanza na uso wa mbuzi!
Hapa sasa anatakiwa mtu(rais) wa aina ya DIKTETA...Hawa wa kuchekacheka tumeshawaona kuwa wana watatulaza porini.
altenative ni pamoja na kuwathibiti watoa rushwa ,kama wabunge wa upinzani walivokufanyiaheshima mbele sana great thinkers:-
- sio siri kwamba tanzania, tunasumbuliwa sana na tatizo moja sugu kuliko yote nalo ni tatizo la rushwa. Miaka nenda miaka rudi tunahangaika pale pale na infact ndio kwanza hili tatizo linazidi kushamiri, i mean how did we get here na hili tatizo?
- nimesikia viongozi wengi tena kwa miaka mingi sana wakilia sana kuhusu rushwa, lakini sijawahi kusikia wakisema alternative ya rushwa ni nini hasa?
- wa-tanzania tufike mahali tujulize tulifikaje hapa na rushwa, wapi tunakwenda nayo? Na what is the alternative?
william @dsm city!
Heshima mbele sana Great Thinkers:-
- Sio siri kwamba Tanzania, tunasumbuliwa sana na tatizo moja sugu kuliko yote nalo ni tatizo la Rushwa. Miaka nenda miaka rudi tunahangaika pale pale na infact ndio kwanza hili tatizo linazidi kushamiri, I mean how did we get here na hili tatizo?
- Nimesikia viongozi wengi tena kwa miaka mingi sana wakilia sana kuhusu rushwa, lakini sijawahi kusikia wakisema alternative ya rushwa ni nini hasa?
- Wa-Tanzania tufike mahali tujulize tulifikaje hapa na Rushwa, wapi tunakwenda nayo? na What is the alternative?
William @DSM City!
Vipi kwenye kinyang'anyiro cha ubunge wa East Africa, ulitoa chochote Mzee William?
Heshima mbele sana Great Thinkers:-
- Sio siri kwamba Tanzania, tunasumbuliwa sana na tatizo moja sugu kuliko yote nalo ni tatizo la Rushwa. Miaka nenda miaka rudi tunahangaika pale pale na infact ndio kwanza hili tatizo linazidi kushamiri, I mean how did we get here na hili tatizo?
- Nimesikia viongozi wengi tena kwa miaka mingi sana wakilia sana kuhusu rushwa, lakini sijawahi kusikia wakisema alternative ya rushwa ni nini hasa?
- Wa-Tanzania tufike mahali tujulize tulifikaje hapa na Rushwa, wapi tunakwenda nayo? na What is the alternative?
William @DSM City!
Kwani wewe Mkuu Wiliam unaishi nchi gani???? Tatizo ulilo liona ni Rushwa tuu, mbona ugomvi mkubwa bungeni juzi ulikuwa wizi wa kutisha ina maana hujaona hiyo umeona rushwa tuu??????? Tatizo kubwa nitofautiane na wewe ni wizi mkubwa unaoitwa ufisadi na dhuluma tena na Mawaziri na viongozi!!!!Heshima mbele sana Great Thinkers:-
- Sio siri kwamba Tanzania, tunasumbuliwa sana na tatizo moja sugu kuliko yote nalo ni tatizo la Rushwa. Miaka nenda miaka rudi tunahangaika pale pale na infact ndio kwanza hili tatizo linazidi kushamiri, I mean how did we get here na hili tatizo?
- Nimesikia viongozi wengi tena kwa miaka mingi sana wakilia sana kuhusu rushwa, lakini sijawahi kusikia wakisema alternative ya rushwa ni nini hasa?
- Wa-Tanzania tufike mahali tujulize tulifikaje hapa na Rushwa, wapi tunakwenda nayo? na What is the alternative?
William @DSM City!
Wewe umezaliwa ,umelelewa na umekuwa kwa rushwa
bado unaendeleza rushwa... Kumbuka juzi ulitoa rushwa source wewe mwenyewe
naona hii topic ni ngumu wewe kuizungumzia
ni sawa na kutoa kijiti kwenye jicho la mwenzako na wewe una borit
shikamoo kaka
hakutoa mpiga debe wake alikuw ani mama kilango ndiye aliyekuwa anagawa kishika mkono kwa wabunge sasa hivi kasusa ndio maana hakusikika
Hakika nimependa majibu yako na kwa kuongezea akamuulize Baba yake maana ane yuko kwenye orodha ya mafisadi......Wewe umezaliwa ,umelelewa na umekuwa kwa rushwa
bado unaendeleza rushwa... Kumbuka juzi ulitoa rushwa source wewe mwenyewe
naona hii topic ni ngumu wewe kuizungumzia
ni sawa na kutoa kijiti kwenye jicho la mwenzako na wewe una borit
shikamoo kaka
Mpiganaji? hahahaahahaah mganga njaa tu................dont tell me, hivi "Anne" si ni mpiganaji wetu, anaweza kweli kutoa hiyo kitu, Im shocked!
Mpiganaji? hahahaahahaah mganga njaa tu................
hakuna solution zaidi ya hii na tunaanza hapo nyumbani
View attachment 52552
Alternative ni kuwanyonga mafisadi wote akiwemo dingi yako..................Heshima mbele sana Great Thinkers:-