Sema inakusikitisha sana, usiwaweke wengine. Unajuaje wengine nao wanasikitika kama unavyosikitika wewe?Inasikitisha sana, sisi kukataa majina yetu ya asili yenye uhusiano na mila, desturi pia tamaduni bila kusahau majina yetu ya kienyeji yanabeba historia ya mazingira na kuenzi mababu na bibi zetu kwa karne kibao.
Kipo kipo wap ? Onyesha kwamba kipo , Mungu hayupo na waliosema yupo hawawezi onyesha yupo , tunaosema hayupo hayupo kweli wewe umemwona wapi?Si nina'share' tukoje. Kwa nje tunasema ni atheists, lakini kwa ndani tunamwamini Mungu. Wewe unaweza kupinga kitu usichojua kwamba hakipo na utaanzaje? Ukipinga, ina maana hicho unachokipinga kilo, labda umeamua tu kutokubaliana nacho. Lakini kilo kwa sababu kama hakipo, utakipingaje, si kila mtu atakuona wa ajabu! Hivyo, ndivyo sisi atheists tulivyo. Kingunge naye alikuwa haamini Mungu yupo, lakini alipokaribia mwisho kabisa nasikia aliomba Padri aende kumwombea. Hivi ndivyo nilivyosikia na kama ni kweli, ni ushahidi mmojawapo. Upon hapo?
Sasa wewe utaweza kuonyesha kama hayupo? Onyesha basi tuone unavyoonyesha kwamba hayupo.Kipo kipo wap ? Onyesha kwamba kipo , Mungu hayupo na waliosema yupo hawawezi onyesha yupo , tunaosema hayupo hayupo kweli wewe umemwona wapi?
Even atheists they believe in so called 'Mungu'.If 85 are atheists why are you singing Mungu ibariki in your national anthem?
Umeokota wapi hizo takwimu za mwaka 1942?Tanzania Religious figures
Tanganyika
85% Pagan/ Non Religious/ Atheist
7.4% Christian
5.2% Islam
1.5% Hinduism
0.9% Others; Judaism, Buddhism, other traditional religions
Zanzibar
84% Islam
9% Christianity
5% Hinduism
2% Others like Judaism, traditional religions, pagans, non religious/ Atheist
Na nyinyi manaosema hayupo hamuwezi kuthibitisha. Basi imekuwa mkanganyiko kukanganyikana🤣Kipo kipo wap ? Onyesha kwamba kipo , Mungu hayupo na waliosema yupo hawawezi onyesha yupo , tunaosema hayupo hayupo kweli wewe umemwona wapi?
You can't prove a negative. Anayesema kaona mzuka au farasi anayepaa; yeye ndo atuoneshe sio sisi ambaye hatumuoniNa nyinyi manaosema hayupo hamuwezi kuthibitisha. Basi imekuwa mkanganyiko kukanganyikana🤣
Mmm hapana nakataa,hapo wa kwanza mpe 13% wa pili mpe 72% otherwise hii ni batili.65% christian. 20%muslim
Mkuu umepuyanga sana alafu kuna vitu hautumii nguvu Kupata ukweli, waislamu wanavyo oa na kuzaliana Eti tuwa wachache, wewe utakuwa wale waleTanzania Religious figures
Tanganyika
85% Pagan/ Non Religious/ Atheist
7.4% Christian
5.2% Islam
1.5% Hinduism
0.9% Others; Judaism, Buddhism, other traditional religions
Zanzibar
84% Islam
9% Christianity
5% Hinduism
2% Others like Judaism, traditional religions, pagans, non religious/ Atheist
Yupo wapi?Na nyinyi manaosema hayupo hamuwezi kuthibitisha. Basi imekuwa mkanganyiko kukanganyikana🤣
Hayupo ndio , kwani wewe umemwona?Sasa wewe utaweza kuonyesha kama hayupo? Onyesha basi tuone unavyoonyesha kwamba hayupo.
Sasa usiopomwona maana yake ndiyo hayupo? Wewe mbona hujaniona mimi, kwa hiyo sipo?Hayupo ndio , kwani wewe umemwona?
Thibitisha kuwa yupo,wewe kwanini unaona kila mtu anapaswa aamini Mungu yupo?Sasa usiopomwona maana yake ndiyo hayupo? Wewe mbona hujaniona mimi, kwa hiyo sipo?
Dah, umepiga kwenye mshonoSasa usiopomwona maana yake ndiyo hayupo? Wewe mbona hujaniona mimi, kwa hiyo sipo?
Hakuna mshono wowote hapo Mungu hayupo hajawahi kuwepo weka uthibitisho kua yupo.Dah, umepiga kwenye mshono
Magobe ndio mungu?
Uthibitisho ni kupitia athari za maumbile mbalimbali, mfano, je wewe unaweza kututhibishia kwamba akili ipo? Uliwahi kuiona? Au unaona tu athari zake?Hakuna mshono wowote hapo Mungu hayupo hajawahi kuwepo weka uthibitisho kua yupo.