Tanzania Religious figures

Ricky Blair

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2023
Posts
562
Reaction score
1,148
Tanzania Religious figures

Tanganyika
85% Pagan/ Non Religious/ Atheist
7.4% Christian
5.2% Islam
1.5% Hinduism
0.9% Others; Judaism, Buddhism, other traditional religions

Zanzibar
84% Islam
9% Christianity
5% Hinduism
2% Others like Judaism, traditional religions, pagans, non religious/ Atheist
 
Unaumwa wewe.

Nchi ilivyojaa washika dini hii?

Nchi hii chumba mkristu, chumba muisilamu hao 85% wasio na dini umewapata wapi
Dini zina ubiri upendo na kusamahe pia usiue , ila hao unaowaita washika dini wanashabikia mauaji ya palestina na Israel na Lebanon , nafikiri mtoa mada kuna namna yupo sahihi tena hapo kawahurumia sana🤔🤔🤔
 
Dini zina ubiri upendo na kusamahe pia usiue , ila hao unaowaita washika dini wanashabikia mauaji ya palestina na Israel na Lebanon , nafikiri mtoa mada kuna namna yupo sahihi tena hapo kawahurumia sana🤔🤔🤔
Basi asingesema non-religious, angesema waimba dini wanafiki
 
If 85 are atheists why are you singing Mungu ibariki in your national anthem?
Huo ni wimbo tu wa mapokeo mkuu.

Ni kama wimbo wa Mr Nice enzi zile anakwambia "Kuku kapanda baskeli, na bata kavaa laizoni"

Kwahiyo hata hiyo Mungu ibariki haimaanishi Mungu yupo kweli
 
Ni sahihi maana tunakwenda sana kwa waganga watupigie ramli, mazindiko, kupata utajiri, watoto, ubunge, mvuto listi ni ndefu ya kuonesha tuna mambo yetu ya kienyeji hata usome sana ukapata ma degree, au uitwe jina la kikristo, kiislamu bado mambo yetu ya Mizimwi, Madogoli, Masika Zolelanga na Vinyamkela n.k vina nguvu kuliko hizi dini za kuja kwa majahazi na merikebu toka nchi za mbali.
 
Na hakuna majina ya kiislam au kiikristo; majina ya kiarabu ndo yanaitwa ya waislam na majina ya kizungu au kiyahudi yanaitwa ya Kikristo na wanacheka majina yetu halisi ya Kibantu
 
Na hakuna majina ya kiislam au kiikristo; majina ya kiarabu ndo yanaitwa ya waislam na majina ya kizungu au kiyahudi yanaitwa ya Kikristo na wanacheka majina yetu halisi ya Kibantu

Inasikitisha sana, sisi kukataa majina yetu ya asili yenye uhusiano na mila, desturi pia tamaduni bila kusahau majina yetu ya kienyeji yanabeba historia ya mazingira na kuenzi mababu na bibi zetu kwa karne kibao.
 
Wewe ndio upo vichwani mwao mkuu?
Si nina'share' tukoje. Kwa nje tunasema ni atheists, lakini kwa ndani tunamwamini Mungu. Wewe unaweza kupinga kitu kisichokuwepo, na utaanzaje? Ukipinga, ina maana hicho unachokipinga kipo, labda umeamua tu kutokubaliana nacho. Lakini kama hakipo, utakipingaje, si kila mtu atakuona wa ajabu! Hivyo, ndivyo sisi atheists tulivyo. Kingunge naye alikuwa haamini Mungu yupo, lakini alipokaribia mwisho kabisa nasikia aliomba Padri aende kumwombea. Hivi ndivyo nilivyosikia na kama ni kweli, ni ushahidi mmojawapo. Upo hapo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…