Tanzania refuses to sign environment protocol

Tanzania refuses to sign environment protocol

Swat

Hapo siwezi bisha, Watanzania hatuendani kwa chochote kingine ila biashara tu. Ukweli ni kuwa hata makabila mengi ya Bongo yametoka Afrika Kusini, kwa mfano Wangoni n.k. na ndio maana hatujawahi kuskilizana kwa chochote na hamuezi ingiana na mataifa mengine EAC, there is no relation at all. Labda Watanzania wenye tumepakana nao mpakani, na ndio wengi huingia Kenya na kupiga mishe zao.

Haya basi bana nendeni huko SADC, tunawatakia kila la heri, hatuwezi badilisha asilia, nature can not be changed, huko ndio kuna kaka zenu wa damu. We regret losing a great partner, kwa kweli kuwapoteza Wabongo kwenye shughuli hizi zetu ni pigo kubwa. Lakini ndoa ikishasambaratika haiwezi zoleka, imetulazimu tupige hesabu zetu tukijua hatuna Tanzania tena. Sasa ni wakati wetu wengine tuangalie nini tulicho nacho na kuendelea na safari. Ni vyema Mungu amebairiki nchi zetu tatu na mafuta, yaani Uganda, Kenya na Sudan Kusini. Ndugu zetu Warwanda tunafikisha reli itakayowezesha mizigo ifike Kigali toka Mombasa ndani ya siku moja. Tupige yetu sasa.

Ha ha ha!Mbona umeandika kwa kutia huruma mkuu. Si kwamba watanzania hawataki ushirikianno Na majirani,la hasha. Bali tunataka ushirikiano mzuri. The one with no strings attached. We don't want those guys who pretend to smile while they want to stab our backs. Tutashirikiana Tu lawmaina78 ,usiogope!
 
Last edited by a moderator:
Ha ha ha!Mbona umeandika kwa kutia huruma mkuu. Si kwamba watanzania hawataki ushirikianno Na majirani,la hasha. Bali tunataka ushirikiano mzuri. The one with no strings attached. We don't want those guys who pretend to smile while they want to stab our backs. Tutashirikiana Tu lawmaina78 ,usiogope!

Hahaha!!! kawaida ndoa inapoisha lazima huzuni inahusika pande zote mbili. Kwa kweli Wabongo asilia yenu ni South Africa. Hata kama tunaongea lugha moja ya Kiswahili na kupakana kwenye mpaka mmoja, mwisho wa siku kitofu chenu kiko kule. Sioni ikija siku tutaendana vizuri. Tupige tu biashara zetu lakini mengine tuache. Mimi nikiingia Bongo huwa napiga mishe zangu na kugeuza.
 
Kwahiyo unawafahamu wakurya, wamasai na wajaluo tu? Tz kuna Wamakonde, Wanyakyusa, Wandali, Wangoni, Wanyiha na wengine kibao wanapatikana pia ktk nchi za SADC. Kwahiyo ni sawa kuwa na interaction na SADC hasa tunapoona tuna watu EAC hawako honest, wana ajenda zao zilizojificha. Mngekuwa mna uchungu na EAC si mngesaini Monetary Protocol kama tulivyofanya sie halafu ndio mtupigie kelele hizo protocols zingine.

kiguu na njia nenddeni SADC kwa makaburu hakuna anayewazuia bora mwache unafiki wa fisi miguu miwili anapupa achovye kote kote. you have to decide where you belong its your but not dragging EAC down while you enjoy where your heart is.

Home
bread_sep.gif
Opinion and Editorial
bread_sep.gif
Comment
bread_end.gif

Comment
[h=1]No matter how many legs the CoW grows, Tanzania belongs in EAC[/h]
ico_plus.png
Share
ico_bookmark.png
Bookmark
ico_print.png
Print Rating

Jenerali+Ulimwengu.jpg

By Jenerali Ulimwengu

Posted Saturday, November 2 2013 at 11:08

​







Many people are wondering just what is happening in the East African Community, and, specifically, what Tanzania’s game plan could be.

Over the past year or so, we have witnessed the intensification of activities that have tended to point to the further weakening of this regional grouping that had previously shown signs of cohesion and vibrancy.

The centripetal forces currently in play stem from a failure of communication among the five member states, their inability to effect a meaningful conversation around what seem to be contentious issues. This situation seems to be escalating to the point where some of us fear the dream of integration of our countries is in danger of being dashed, once again.

It is no secret that, for three of the partner states, maybe four, the problem member is Tanzania, which is perceived, rightly or wrongly as the laggard, the foot dragger, some kind of deadweight. While others are anxious to move with dispatch to effect greater integration in the shortest time possible, Tanzania is seen as applying the brakes to the regional enterprise.


[h=1]Tanzania: Why the country drags its feet in the EAC (opinion)[/h] The East African (Kenya), by Frederick Golooba-Mutebi / Monday, 02 September 2013



However, Tanzania bears more responsibility than the others. On the economic front, it is the most reluctant to implement measures designed to open up its economy.


A Tanzanian businessman with interests in Uganda and Kenya is critical of “its cumbersome entry visa and work permit requirements for East African citizens at a time when Rwanda, Uganda and Kenya have all but done away with them.”
A Dar es Salaam-based Ugandan confirmed this. His work permit cost him $2,050 and took three months to get.


[h=1]Economic and Social Research Foundation[/h]



Speculation about Tanzania showing more commitment to SADC is simply not well informed, according to the frustrated businessman: “If you ask businessmen from other SADC member states, you will hear the same complaints about Tanzania as the ones made by those from the EAC.”

[h=1]Economic and Social Research Foundation[/h]



[h=1]Economic and Social Research Foundation[/h]
 
Hahaha!!! kawaida ndoa inapoisha lazima huzuni inahusika pande zote mbili. Kwa kweli Wabongo asilia yenu ni South Africa. Hata kama tunaongea lugha moja ya Kiswahili na kupakana kwenye mpaka mmoja, mwisho wa siku kitofu chenu kiko kule. Sioni ikija siku tutaendana vizuri. Tupige tu biashara zetu lakini mengine tuache. Mimi nikiingia Bongo huwa napiga mishe zangu na kugeuza.

..kwanza tunatakiwa tuheshimiane.

..halafu with time tutaelewana.

..si umeona majuzi Tanzania, Zambia, na Kenya, zimesaini mkataba wa mradi wa umeme.

..in the near future SADC and EAC will converge, and Tanzania will be the center of that convergence.

cc jMali, Koborer
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom