Msolopagaz
JF-Expert Member
- Jan 29, 2014
- 461
- 212
Kenya ina wehuka kwa mengi. Hii reli ambayo ina cross manyara ni short cut kubwa sana kuelekea uganda na rwanda ukilinganisha na mombasa. Pia kukross kwa hyo reli hapo manyara kunatishia utalii kenya kwan wanahofu wale wanyama wanaweza wasuse kwenda kenya