Ngongo
Platinum Member
- Sep 20, 2008
- 21,461
- 38,184
Hili nalo neno.
East African Eagle
East African Eagle
Last edited by a moderator:
mambo ya tanzania haitaji mjadala, tumewazoea. wapewe nafasi wakizinduka watarudi kufuata mkondo wa maji, kila siku wanaomba kubebelezwa, nafasi wapewe!!!!!!
Kwa nini msiendelee Tu Na hiyo COW yenu bila kuitajataja Tanzania. Tumeshawaambia hatuitaki mbona bado mnatufuatafuata? Inaonekana mnaitegemea Sana Tanzania. Sasa watanzania wa sasa Ni wajanja,tunajua maslahi yetu. Endeleeni Na Cow yenu Ki vyenu bila kututaja.!
tanzania haijitambui.kinyoka kujigeuza rangi tu. mara ni sadc MARA EAC. kama hautaji eac ondokeni, makao mkuui yaende rwanda, burundi au kwingineko. you export duty free kenya chin ya mpango wa EAC lakini kwako hutaki kufuata kanuni za eac.si mwondoke hutasikia atakayeitaja tz. A big cry baby liability in EAC.
ambacho wewe haujui,nchi zote za eac zikiwa na fujo au machafuko,usa,russia,china,uk or france huiuliza tanzania nini kifanyike. Tanzania ikitoa action plan tu,nchi yeyote fujo hutulia.ref:drc,comoro,kenya,rwanda,burundi etc! Bado haujajua tanzania ni big brother to you all?
mambo ya tanzania haitaji mjadala, tumewazoea. wapewe nafasi wakizinduka watarudi kufuata mkondo wa maji, kila siku wanaomba kubebelezwa, nafasi wapewe!!!!!!
toa overview zako. Usi copy na ku paste maandishi ya watu tu. Hao wanaoandika ni sawa na wewe tu mkuu,na wanatumika kwa interest vilevile! By the way,why comment in capital letters. Are you overwhelmed!?
This article was authored by one Dr. Wolfgang. It was not written by COW so you need to direct your energies to the author. As for the standard gauge railway, that is a different matter which we could debate in another thread. Avoid going off topic.