Tanzania Recruitment agencies

Tanzania Recruitment agencies

F.c.mwanzi

Member
Joined
Apr 1, 2013
Posts
65
Reaction score
17
Wapendwa habari zenu! Nipo kwenye harakati za kutafuta kazi iliyo rasmi au ya muda.rafiki yangu akanishauri nitafute kazi kupitia recruitment agencies. Nanaombeni ufafanuzi jinsi hizi agencies zinavyo fanya kazi??
2.zinasaidia kivipi???
3.ktk ku-serch google nimeona zipo nyng ni zipi nzuri za kijiunga nazo??.
Asanteni!!
 
Jamani naombeni msaada ktk hili,coz sijui chochote na ndio naingia ktk soko la ajira
 
Kiuhairsia ni wanyonyaji kwa sababu nyingi zinataka mgawane mshahara nusu kwa nusu lakin kwa kuwa ndo unaingia kwenye soko la ajira zitumie ukipata kazi utaongeza experience kuliko kukaa tu bila kazi,
 
Back
Top Bottom