Tanzania Prime Minister Kassim Majaliwa

Tanzania Prime Minister Kassim Majaliwa

Mr Chin

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
4,625
Reaction score
1,024
[h=3][/h]
12238285_1494873010814118_6265095863578927240_o.jpg


12232709_905958289458973_4500602866921897572_o.jpg

Rais Dk. Magufuli amemteua KASSIM MAJALIWA kuwa WAZIRI MKUU wa 11 katika Serikali ya awamu ya tano.
Natumia fursa hii kumpongeza Rais Magufuli kwa kufanya uteuzi makini wa Kassim Majaliwa na pia sina mashaka na utendaji kazi wa Kassim Majaliwa ambaye anatosha kabisa kuendana na kasi ya HAPA KAZI TU
 
Vijana wa Shigongo wale wanaitwa OFM wanamfahamu vizuri huyu PM

Honestly ni chaguo zuri sana na rais amethibitisha kuwa kwa sasa hauhitaji kambi na wapiga debe ili uitumikie Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kwa sasa nchi imekuwa ya watanzania wote, sijui huko mbele
 
Nimemshuhudia mama mkwere akipiga kambi ruangwa kumuuza kwa nguvu zote nikajiuliza kunini huku mpaka huyu mama aje huku porini wiki nzima eti anamnadi mgombea ubunge😳😳😳

Baada ya hapo wakatoka huko mpaka mjini kwao lindi huku mkwere naye akiwa tayari kafika kwa shighuli ya kufungua kitega uchumi chao walichokiweka kwa kivuli cha mama zangu wakijifanya kuwaondolea moja ya maadui watatu waliotambuliwa na JK original.

Nilijiuliza bwana mapombe anafanya upendeleo huu kwa maana ipi ndipo nikaunganisha dot faster kuwa Tanzania yangu bado inaongozwa kutokea Msogaaa...!

Mwisho nikathibitisha hili kwa kauli ya mkwere ya NEC kuwa mr. Chapombe lazima uongoze taifa kwa kusikiliza hekima za sisi watangulizi wako.

Ghafla kushtuka najikuta nilikuwa naota ndoto ya ukweli kuwa rais mmoja tu ndiye aliwahi kutoka bara na ndiye alikuwa bora wengine wote ni wamwinyi na kawaida yao ni uvivu kuanzia kufikiri hadi utendaji wao wa kazi. Na mwaka huu watz walidhani wameokota dodo chini ya mbuyu kwa kuletewa mamii ila wakakuta limeoza...😰😰😰😰😰😰😰😰..
Ndiyo nimeamka km vile ndoto ila naona km kweli vile.
 
1) Kuna button ya remote imebonyezwa kutoka Msoga.

Hayo tuyaache lakini harakaharaka huyu Majaliwa kiwajih namfananisha
kwa mbaaali na Paul Kimiti.Linganisha Kimiti na Majaliwa hapa chini:

attachment.php
attachment.php
attachment.php
attachment.php
 

Attachments

  • PAUL KIMITI.jpg
    PAUL KIMITI.jpg
    2.8 KB · Views: 1,032
  • PAUL KIMITI2.jpg
    PAUL KIMITI2.jpg
    7.3 KB · Views: 745
  • KASSIM1.jpg
    KASSIM1.jpg
    6.4 KB · Views: 788
  • KASSIM2.jpg
    KASSIM2.jpg
    5.4 KB · Views: 579
huyu si ndugu na first lady aliyepita?
 
Back
Top Bottom