tanzania premier league matchday 4

matambo

JF-Expert Member
May 14, 2009
727
117
jamani leo ni matchday 4 kwenye ligi yetu ya bongo

fikcha za leo ni

SIMBA SC VS RUVU SHOOTING

YOUNG AFRICANS SC VS MTIBWA SUGAR FC

KAGERA SUGAR FC VS AZAM FC


TUJUZANE MATOKEO
 
Hadi sasa ni dakika ya 31 simba 2 ruvu 1 simba walifunga kupitia mgosi then dakika ya 18 ruvu wakachomoa na dakika ya 19 mgosi akafunga la pili
 
Mtibwa 1-yanga 0 ni half time sasa

beki mmoja wa yanga amtwanga mtu kichwa bila refarii kufanya lolote, watu washangaa refa kuacha hilo



mwanza ni half time simba 2 ruvu 1
 
Shija mkina anakatwa kwenye box simba wanapata penati dakika ya 52

mgosi anaenda anakosaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
ruvu shooting wanapata goli , refa wa kati anasema kati, linesman akasema offside basi refa wa kati akasema sio goli

simba 2 ruvu 1
 
yanga 1 mtibwa sugar 1 full time huko morogoro yanga sasa ina pointi 7
 
mwanza ni full tyme simba 2 ruvu 1

simba yaongoza ligi kwa pointi zao 9
 
Wenye uwezo wameshaanza kuonekana.....vipi kule kagera azam vipi katoka au siyo leo...
 
ruvu shooting wanapata goli , refa wa kati anasema kati, linesman akasema offside basi refa wa kati akasema sio goli

simba 2 ruvu 1
.....halafu mnashangaa mtu akipigwa 5 na Mafarao au 3 na kimeo Gor!!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom