Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 30,661
- 55,932
nadhani hunielewi, hakuna mahali nimesema serikali imiliki njia zote za uchumi. (Even though practicaly wakitaka wanaweza).Kwahiyo wewe unaona ni sawa Serikali kumiliki njia zote za UCHUMI kama China?
Like really?
Do you know why China succeeded?Investment money from the West
Serikali yako haina hela,ina invest wapi wakati haina hela?
Na hapa naomba tukubaliane,HAKUNA MAHALI SERIKALI INATUMIA WANANCHI kwa chochote!
population growth we don't classify either curse or blessed but it depend to the fact of how government distribute and create conducive Environmental to attract its citizens to increase purchases capacity.The history of population counts in Tanzania dates back to 1910. The first modern census was conducted in 1958. After the union of Tanganyika and Zanzibar in 1964, other censuses were conducted in 1967, 1978, 1988, 2002 and 2012. Since 1967, the country has conducted decennial Population and Housing Censuses on a de facto basis in accordance with the United Nations (UN) Principles and Recommendations for conducting population and housing censuses.
Data collected in these censuses show that the Tanzania’s population has increased about five times since 1967 from 12,313,469 persons in 1967 to 61,741,120 persons in 2022. The 2022 census enumerated 61.7 million persons representing an average annual intercensal population growth rate of 3.2 percent during the 2012 – 2022 period compared to 2.7 percent recorded in the 2002-2012 period.
NOTE
Fertility rate : 4
Children 46%
Aged: 3.6%
Dependency ratio: 87.4%
Urban population: 30%
Rural population:70%
Workforce by sector:
Agriculture: 75%-80%
Industry: less than 10%
Service: less than 10%
Unknown: above 10%
View attachment 2942382View attachment 2942387
A blessing or curse?
Mkuunadhani hunielewi, hakuna mahali nimesema serikali imiliki njia zote za uchumi. (Even though practicaly wakitaka wanaweza).
Sisemi tuwa copy everything hatutoweza, hatuna hiyo capacity, but tunaweza take some positives from them. And for the record watu ni rasilimali. agree to disagree serikal za wenzetu zimeweza wao wamefanyaje?
Unadhani uchumi wao ulipanda out of thin air bila ku involve watu wao? Come on man
Nita disagree na theory yako. Mwisho wa siku si lazima tukubaliane
Serikali inawajibika kuweka mazingira wezeshi kwa wananchi wake, ikiwa ni pamoja na kutoa knowledge na skills kwa wananchi kupitia mifumo ya elimu, kuweka sera nzuri za upatikanaji wa mitaji. Serikali inapaswa kuwekeza kwenye tafiti. Hiyo ni kwa uchache sana!Mkuu
Naona umeandika vitu virefu visivyo na maana
Nimekuambia nipe mfano mmoja tu "serikali inatumia wananchi" kivipi
Serikali inahusika vipi na kujenga viwanda?
Serikali inahusika vipi na hela za watu waliopo diaspora wanawatumia ndugu zao,serikali inahusika nini na jasho la watu?
Serikali haina uwezo wa kufanya innovation wala kugundua technologies,hizi wanagundua wananchi na sio serikali
Viwanda wanajenga wananchi na sio serikali,mitaji binafsi ya watu
Serikali haina uwezo wa KUTUMIA watu..wao wanashughulika na POLICIES tu,na policies ni sheria za mchezo,actors wote tuliopo kwenye huu mchezo tuzifate including govt itself
MkuuSerikali inawajibika kuweka mazingira wezeshi kwa wananchi wake, ikiwa ni pamoja na kutoa knowledge na skills kwa wananchi kupitia mifumo ya elimu, kuweka sera nzuri za upatikanaji wa mitaji. Serikali inapaswa kuwekeza kwenye tafiti. Hiyo ni kwa uchache sana!
Dont judge me!What do you think? I seems that according to your post .. ya mindset tell us it curse Tanzania to have a lot of people..
Why should I judge you? .. it's seems that what you wrote it's wat you think about what if I write different from ya opinions do ya gonna agree with me or nat?Dont judge me!
It is an open ended question. Answer it at your best.
Why not, this thread to me is neutral because I want get the views of every one.Why should I judge you? .. it's seems that what you wrote it's wat you think about what if I write different from ya opinions do ya gonna agree with me or nat?