Hii riporti ni ya uwongo kabisa.hebu tujiulize Lowasa,Rostam,na mafisadi wengine papa wapo police au judiciary? Hivi kina Balali nae ni judiciary? kina rajabu Maranda,manji Mramba na Yona nao pia ni police ama mahakama? hawa ni executive kwa hivo tungeambiwa taasisi au mhimili unaoongoza kwa rushwa ni ni ni EXECUTIVE(MAWAZIRI,WABUNGE) na wote ambao wako ktk huu mhimili.
Kuna polisi au hakimu au jaji kafikishwa mahakamani kwa ajili ya ufisadi??? PCCB wanadhani Watanzania hatuna akili ehh? kwanza Mkuu wao ana kashfa ya kujengewa nyumba na kampuni alioisafisha kuwa mikataba yake ilikuwa halali na hakuna rushwa? pili kamsafisha Chenge hahusiki na rushwa wkt kesi bado inaendelea Uingereza. Mimi naona bado tunaendeshwa kama wajinga fulani.Ripoti haiwezi kuwa safi kama mtoa ripoti sii safi.