emiliano jr boy
Member
- Jul 2, 2017
- 76
- 28
- Thread starter
-
- #21
MApenzi ya soka sio kama ya sias broohuyo jamaa walitakiwa wampe kipigo kikali sana, ametuaibisha sana. sio ushabiki huo kwa mwanaume mtu mzima. wangekuwa vijana miaka 15 tungesema sawa, ila hilo jamaa linaonekana lina familia na watoto kabisa na limepata mzuka kwenda kukumbatia mwanaume mwenzie kwa staili ile, mzuka wa aina gani huo kama sio ushetwani.
Ameend nae kwa rooneynamuwahi josevarest
Yamefika ukotena kashikwa kiuno na mtu toka Uingereza kwa Cameron!
Ngono run duniaMuda wote mnawaza ngono.
[emoji114] [emoji122] [emoji122] [emoji123]Hapo Rooney angemwambia kuchukue chumba sehemu nakuja, angewahi hata kabla mpira haujaisha.
[emoji104]Huyo Mtu alipangwa na Watu wa ' Mamlaka ' ili afanye hivyo kisha tukio hilo liache ' Kumbukumbu ' kwa Tanzania na pia litangazike kusudi hata Rooney mwenyewe ajue anakubalika Tanzania na pengine siku zijazo aje mwenyewe ' Kutalii ' na pia hilo tukio limefanywa ' makuudically ' kabisa ili Watu wengi wa huko ' Ulaya ' ambao wameliona washtuke, wahoji na wahamasike kuhusu Tanzania kisha na Wao wafikirie kuja ' Kuitembelea ' ili lengo zima la ' Utalii ' litimie.
Kwa ' Kanuni ' au ' Sheria ' za FIFA hicho Kitendo ni cha ' hatari ' sana ambapo wengi waliowahi ' kukifanya ' walipata ' adhabu ' Kali sana. Hebu tufikirie endapo huyo ' Jamaa ' labda angekuwa hana nia njema ya Rooney halafu alivyomkimbilia vile huku mfukoni mwake ana ' Silaha ' na ' Kumdhuru ' Rooney leo Tanzania ingeficha wapi aibu?
In short alichokifanya huyo ' Kijana ' ni ' uhuni ' wa kiwango cha ' kutukuka ' kabisa na hakikubaliki wala hakivumiliki na nilishangaa mno nilipoona Watanzania jana ' wanakifurahia ' huku Waandishi wa Habari wakilipa sana Kipaumbele utadhani ni jambo jema wakati lingeweza hata kuifanya Tanzania yetu ipewe ' adhabu ' au hata ' tufungiwe ' na FIFA.
Tuige ya maana kutoka kwa Wazungu ila tuache kuiga ' Upumbavu / Upopoma ' kutoka kwa Wazungu. Binafsi kile ' Kitendo ' kilinisikitisha mno, sijakipenda na naomba ' Wanaohusika ' wajitahidi kisije kujirudia tena kwani japo sisi ' Watanzania ' tumekisifia kana kwamba ' Jamaa ' ni ' Shujaa ' kwani kinaweza ' kuzitisha ' Timu / Klabu zingine kubwa za ' Ulaya ' ambazo zina Wachezaji ' nyota ' kuliko Rooney kutokuja tena Tanzania kwani watahofia ' Usalama ' wao.
BodygardHivi kumbe jamaa hakuruhusiwa kutumia usafiri wake?Nnaona amebebwa kama mfame
GwalaaWe jamaa vipi mbona akina ronaldo messi wanakumbatiwa uwanjani uko kwao na kupiga selfie ....sio ujinga ni kawaida tu ila sema kwenye hatari nitakubali
Mean we mkaliNakumbuka miaka ile mchezaji wa tennis Monica Seles alichomwa kisu na mtu uwanjani kwa mtindo huu huu.
Sent from my SM-N9208 using JamiiForums mobile app
Mugabe anakuoAWw ulitka iweje cz kama anabomu unatka tuwe kwenye nchi zilizokosa amani tang zmn nenda somalia mkumbatie rais uone
Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
kama ww sio shabiki wa mpira sio lazma uchangie thread za mpira ngoja siasa hukoHuyo Mtu alipangwa na Watu wa ' Mamlaka ' ili afanye hivyo kisha tukio hilo liache ' Kumbukumbu ' kwa Tanzania na pia litangazike kusudi hata Rooney mwenyewe ajue anakubalika Tanzania na pengine siku zijazo aje mwenyewe ' Kutalii ' na pia hilo tukio limefanywa ' makuudically ' kabisa ili Watu wengi wa huko ' Ulaya ' ambao wameliona washtuke, wahoji na wahamasike kuhusu Tanzania kisha na Wao wafikirie kuja ' Kuitembelea ' ili lengo zima la ' Utalii ' litimie.
Kwa ' Kanuni ' au ' Sheria ' za FIFA hicho Kitendo ni cha ' hatari ' sana ambapo wengi waliowahi ' kukifanya ' walipata ' adhabu ' Kali sana. Hebu tufikirie endapo huyo ' Jamaa ' labda angekuwa hana nia njema ya Rooney halafu alivyomkimbilia vile huku mfukoni mwake ana ' Silaha ' na ' Kumdhuru ' Rooney leo Tanzania ingeficha wapi aibu?
In short alichokifanya huyo ' Kijana ' ni ' uhuni ' wa kiwango cha ' kutukuka ' kabisa na hakikubaliki wala hakivumiliki na nilishangaa mno nilipoona Watanzania jana ' wanakifurahia ' huku Waandishi wa Habari wakilipa sana Kipaumbele utadhani ni jambo jema wakati lingeweza hata kuifanya Tanzania yetu ipewe ' adhabu ' au hata ' tufungiwe ' na FIFA.
Tuige ya maana kutoka kwa Wazungu ila tuache kuiga ' Upumbavu / Upopoma ' kutoka kwa Wazungu. Binafsi kile ' Kitendo ' kilinisikitisha mno, sijakipenda na naomba ' Wanaohusika ' wajitahidi kisije kujirudia tena kwani japo sisi ' Watanzania ' tumekisifia kana kwamba ' Jamaa ' ni ' Shujaa ' kwani kinaweza ' kuzitisha ' Timu / Klabu zingine kubwa za ' Ulaya ' ambazo zina Wachezaji ' nyota ' kuliko Rooney kutokuja tena Tanzania kwani watahofia ' Usalama ' wao.
Unalijua neno linaitwa usalama?Tanzania ndo nchi pekee dunian ukimkumbatia mtu maarufu kutoka nje
Unakamatwa
Samahanini sijavuta leo[emoji724] [emoji724]
Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
Unamaanixha we mzungu
Post sent using JamiiForums mobile app
Football is a passion game' Mashabiki wa football hupandwa na mzuka. Jiulize MTU mzima kuvaa bukta (kichupi) na kushangiliwa na kutazamwa na millions of people.Huyo Mtu alipangwa na Watu wa ' Mamlaka ' ili afanye hivyo kisha tukio hilo liache ' Kumbukumbu ' kwa Tanzania na pia litangazike kusudi hata Rooney mwenyewe ajue anakubalika Tanzania na pengine siku zijazo aje mwenyewe ' Kutalii ' na pia hilo tukio limefanywa ' makuudically ' kabisa ili Watu wengi wa huko ' Ulaya ' ambao wameliona washtuke, wahoji na wahamasike kuhusu Tanzania kisha na Wao wafikirie kuja ' Kuitembelea ' ili lengo zima la ' Utalii ' litimie.
Kwa ' Kanuni ' au ' Sheria ' za FIFA hicho Kitendo ni cha ' hatari ' sana ambapo wengi waliowahi ' kukifanya ' walipata ' adhabu ' Kali sana. Hebu tufikirie endapo huyo ' Jamaa ' labda angekuwa hana nia njema ya Rooney halafu alivyomkimbilia vile huku mfukoni mwake ana ' Silaha ' na ' Kumdhuru ' Rooney leo Tanzania ingeficha wapi aibu?
In short alichokifanya huyo ' Kijana ' ni ' uhuni ' wa kiwango cha ' kutukuka ' kabisa na hakikubaliki wala hakivumiliki na nilishangaa mno nilipoona Watanzania jana ' wanakifurahia ' huku Waandishi wa Habari wakilipa sana Kipaumbele utadhani ni jambo jema wakati lingeweza hata kuifanya Tanzania yetu ipewe ' adhabu ' au hata ' tufungiwe ' na FIFA.
Tuige ya maana kutoka kwa Wazungu ila tuache kuiga ' Upumbavu / Upopoma ' kutoka kwa Wazungu. Binafsi kile ' Kitendo ' kilinisikitisha mno, sijakipenda na naomba ' Wanaohusika ' wajitahidi kisije kujirudia tena kwani japo sisi ' Watanzania ' tumekisifia kana kwamba ' Jamaa ' ni ' Shujaa ' kwani kinaweza ' kuzitisha ' Timu / Klabu zingine kubwa za ' Ulaya ' ambazo zina Wachezaji ' nyota ' kuliko Rooney kutokuja tena Tanzania kwani watahofia ' Usalama ' wao.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] aisee
Tumbaku.Akili timamu hawezihuyo jamaa walitakiwa wampe kipigo kikali sana, ametuaibisha sana. sio ushabiki huo kwa mwanaume mtu mzima. wangekuwa vijana miaka 15 tungesema sawa, ila hilo jamaa linaonekana lina familia na watoto kabisa na limepata mzuka kwenda kukumbatia mwanaume mwenzie kwa staili ile, mzuka wa aina gani huo kama sio ushetwani.
Nitafute kazi kwenye mamlaka mkuu vyeti vyeti vyangu vyote ni originalHuyo Mtu alipangwa na Watu wa ' Mamlaka ' ili afanye hivyo kisha tukio hilo liache ' Kumbukumbu ' kwa Tanzania na pia litangazike kusudi hata Rooney mwenyewe ajue anakubalika Tanzania na pengine siku zijazo aje mwenyewe ' Kutalii ' na pia hilo tukio limefanywa ' makuudically ' kabisa ili Watu wengi wa huko ' Ulaya ' ambao wameliona washtuke, wahoji na wahamasike kuhusu Tanzania kisha na Wao wafikirie kuja ' Kuitembelea ' ili lengo zima la ' Utalii ' litimie.
Kwa ' Kanuni ' au ' Sheria ' za FIFA hicho Kitendo ni cha ' hatari ' sana ambapo wengi waliowahi ' kukifanya ' walipata ' adhabu ' Kali sana. Hebu tufikirie endapo huyo ' Jamaa ' labda angekuwa hana nia njema ya Rooney halafu alivyomkimbilia vile huku mfukoni mwake ana ' Silaha ' na ' Kumdhuru ' Rooney leo Tanzania ingeficha wapi aibu?
In short alichokifanya huyo ' Kijana ' ni ' uhuni ' wa kiwango cha ' kutukuka ' kabisa na hakikubaliki wala hakivumiliki na nilishangaa mno nilipoona Watanzania jana ' wanakifurahia ' huku Waandishi wa Habari wakilipa sana Kipaumbele utadhani ni jambo jema wakati lingeweza hata kuifanya Tanzania yetu ipewe ' adhabu ' au hata ' tufungiwe ' na FIFA.
Tuige ya maana kutoka kwa Wazungu ila tuache kuiga ' Upumbavu / Upopoma ' kutoka kwa Wazungu. Binafsi kile ' Kitendo ' kilinisikitisha mno, sijakipenda na naomba ' Wanaohusika ' wajitahidi kisije kujirudia tena kwani japo sisi ' Watanzania ' tumekisifia kana kwamba ' Jamaa ' ni ' Shujaa ' kwani kinaweza ' kuzitisha ' Timu / Klabu zingine kubwa za ' Ulaya ' ambazo zina Wachezaji ' nyota ' kuliko Rooney kutokuja tena Tanzania kwani watahofia ' Usalama ' wao.
Nitafute kazi kwenye mamlaka mkuu vyeti vyeti vyangu vyote ni original