Tanzania Parliament in-session!!

Tanzania Parliament in-session!!

md4doctor2000

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2012
Posts
736
Reaction score
315
EA-May-06-13-TZ-Parliament-in-session.jpg

Please pay attention to Hon Serukamba and Madame Speaker!

Link: http://gadocartoons.com/wp-content/uploads/2013/05/EA-May-06-13-TZ-Parliament-in-session-595x450.jpg
 
There is no any more way to express it than this! the best ever. Safi sana Gado!
 
Sasa hawa wabunge walivyokuwa vilaza, utasikia kelele kuwa wametukanwa na kudharauliwa na GADO na hivyo watamshitaki ili walipwe fidia!!!
 
wanabodi, katika majiniasi wasiotambulika kwa wengi hapa TZ mmojawapo ni KP lakini na huyu mwingine anaitwa GADO japo wengi hasa kizazi cha leo wanadhani ni Mkenya. Taja na mzee Gayo (Kingo) nk.

Hii kazi nimeipata kwenye mtandao wa Mh. Zitto and surely it has made my day!
nawe unawatambua nani hapo??
cartoon.jpg
 
Nkamia si ndiyo anakinajisi Kiti cha Spika
kwa mkojo mrefu sana yaani CCM
bunge hili wameporomosha matusi makubwa
sana sijui kama Hansadi za Bunge zimetunza.
 
patamu hapo,hebunipeni jina mojamoja hapo la wabunge wetu
 

Attachments

  • bunge letu.jpg
    bunge letu.jpg
    71.5 KB · Views: 104
Hii picha inaongea mambo mengi sana, na ukitizama kwa makini wahusika unawajua kwa majina kabisa kutokana na muonekano wao
 
Hapa mchora katuni kamaliza yote! Yafaa Madam Speaker apelekewe nakala maalum ya rangi na yenye ukubwa wa kutosha!!!
 
Hii picha nikiambiwa niandike Essay, namaliza Ream nzima. Kwa kweli imebeba ujumbe mzito sana.
 
Bora ingekua hivyo, hali halisi ni mbaya kuliko hata hiyo picha. Watu wanasahau kabisa kwamba kwanini wako bungeni na kwamba wanatafuna kodi zetu. Ukifanya ROI kuna wabunge wengine hawastahili hata kulipwa kabisa hadi unatamani bunge lisiwepo kabisa.
 
Back
Top Bottom