Tanzania one

Tanzania one

Dr.viruz

Senior Member
Joined
May 28, 2013
Posts
183
Reaction score
155
salam zenu wakuu!.nimejaribu kutafuta historia ya wanafunzi bora(wa kwanza) au tanzania one hapa tanzania kwa kidato cha sita lakin sikufanikiwa kupata.
Naomba kwa yeyote mwenye historia ya mwanafunzi bora tanzania awasilishe kwenye uzi huu kwa kuzingatia vipengele vifuatavyo,
(a)mwaka aliohitimu kidato cha sita mwanafunzi huyo
(b)division
(c)wastani kwa ujumla wa masomo yote aliyofanyia mtihani
(d)shule aliyohitimu kidato cha nne na cha sita.
 
haya bwana. Kuna jamaa mmoja anaitwa martin j chegere. Alikuwa kinara primary,sekondary uru seminary div 1.7 mwaka 2004 ,pugu sekondary egm aliongoza tz,div 1.3,chuo kinara ,gpa 4.9,akaunga masters na sasa nazani anachukua phd...muhagachi p chacha,kibaha 2009,kidato cha sita(huyu jembe maaana alikuwa anaishi kisera maisha ya kawaida sana tofauti na wengine,..lakini haya yanakusaidia nini?labda yakupe motisha tu.
 
martin chegere ni mwalimu wetu hapa udsm,kwa sasa anafanya phd yake uholanzi..
 
salam zenu wakuu!.nimejaribu kutafuta historia ya wanafunzi bora(wa kwanza) au tanzania one hapa tanzania kwa kidato cha sita lakin sikufanikiwa kupata.
Naomba kwa yeyote mwenye historia ya mwanafunzi bora tanzania awasilishe kwenye uzi huu kwa kuzingatia vipengele vifuatavyo,
(a)mwaka aliohitimu kidato cha sita mwanafunzi huyo
(b)division
(c)wastani kwa ujumla wa masomo yote aliyofanyia mtihani
(d)shule aliyohitimu kidato cha nne na cha sita.

Great mind discus idea
Medium mind discus event
Small mind discus people

Mkuu tulia darasani ule kitabu ndo umeshawajua ao
 
jaribu kufuatilia vitu ambavyo vitakusaidia katika maisha yako, haya unayoyahoji hapa hayatakusaidia chochote zaidi ya kubishana na wenzako na pia kujaza majina ya watu wasio na maana kwenye kichwa chako

mkuu hiv umeuliza kwanini nataka kujua haya yote? au unaropoka tu?.
au ulitaka niulize habar za diamond na wema.
"WE ALWAYS LEARN FROM WINNERS"
 
mkuu hiv umeuliza kwanini nataka kujua haya yote? au unaropoka tu?. au ulitaka niulize habar za diamond na wema. "WE ALWAYS LEARN FROM WINNERS"
huyo wema na diamond unawajua wewe kwani atamkacho mtu ndicho kilichomjaa, kama kujua jina la winner inasaidia mbona wengi wangekuwa wamefanikiwa
 
kipi kimekuchekesha mkuu? jamaa anaulza itanisaidia nini au hajui hapa ni JF.Kila mtu ana uhuru wa kuuliza,kuchangia chochote hapa jf.au jamaa alizungusha.....
kuzungusha kuko kwingi, kama unamaanisha kuzungushia mkanda kiunoni basi hujakosea nishazungusha sana mkanda katika kusoma kwangu sijawahi faulu sana wala kufeli sana, ila kila wanapoenda waliofaulu sana nami niko nao
 
salam zenu wakuu!.nimejaribu kutafuta historia ya wanafunzi bora(wa kwanza) au tanzania one hapa tanzania kwa kidato cha sita lakin sikufanikiwa kupata.
Naomba kwa yeyote mwenye historia ya mwanafunzi bora tanzania awasilishe kwenye uzi huu kwa kuzingatia vipengele vifuatavyo,
(a)mwaka aliohitimu kidato cha sita mwanafunzi huyo
(b)division
(c)wastani kwa ujumla wa masomo yote aliyofanyia mtihani
(d)shule aliyohitimu kidato cha nne na cha sita.
King Kong III uko wapi? kuna mtu anataka majina ya ma-TO huku!
 
Last edited by a moderator:
inaonesha wengi wao ma TO hupenda kufundisha.au kwasababu wanaaminika na kukubalika sana?
 
huyo wema na diamond unawajua wewe kwani atamkacho mtu ndicho kilichomjaa, kama kujua jina la winner inasaidia mbona wengi wangekuwa wamefanikiwa

kama we unaona haisaidii kaa kimya!.nenda kakoment kwenye majukwaa ya **** .waache huku wanaojua umuhim.
au mkuu uliangukia pua nn unawaonea wivu ma TO.
 
Back
Top Bottom