Tanzania Now Faces Sanctions & Diplomatic Crisis Over Iran

Status
Not open for further replies.
Analeta ujanja ujanja hapa..na akifukuza hizo meli bakwata watamwandama kwa kushabikia ukristo(america) na hapo dhaifu atakuwa amebanwa kwenye kona
 
Tanzania ni inchi isiyo fungamana na upande wowote! hawa wamerekani wanatakiwa walijue hilo... ukoloni mambo leo ulipitwa na wakati!


Thats true on your keyboard you Moron.... The problem is we cant stop begging from West... Try to think BIG and tell me when Our Budget had no western Money??? We depend on West on Almost everything......
 

No you are wrong, Obama ni raisi wa bara la North America, muungano wa 50 countries so hawalingani na kiwete hata kidogo. yaani rais wa Rwanda alingane na Obama? hahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahaha!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 


Mh, ukitaka kula lazima uliwe! Cha nazi ....angekuwa na akili, tunge mshauri.
 
Naona wakristo wamechachamaa ku-support wamerekani aisee.. MTALAMBA MIGUU YA WAZUNGU ..

Anzisheni jeshi kama la walibya ili mmpate support kutoka US mnalialia nini??
 


Hata ufurukute vipi Marekani ndiyo inayofanya maamuzi duniani na ndio maana Nyerere aliposhindana na IMF ikawa ngumu akaamua kumwachia Mwinyi ili akubaliane nao kwani hali ilikuwa mbaya. Tusijidai kupambana na Marekani na jumuhia ya Ulaya ambao wako against mpango wa Nuklia wa Iran. Tukibisha hili tutakuwa wajinga na ni obvious tunajiingiza kwenye mtego mbaya ambao utairejesha nchi yetu nyuma sana. Tujifunze kwa zimbabwe je msimamo wa Mugabe umesaidiaje wazimbabwe kama si kuanguka kwa uchumi na wananchi kukimbilia SA. Sisi bado maskini tusijidai wakati asilimia 70% ya bajeti ya kuendesha nchi tunategemea kwa hawa Wamarekani na marafiki zako pamoja na mashirika ya misaada ambayo Marekani ina influence. JK aachane na hili suala hatutaki matatizo.
 
Ooohhh, Chezea kichwa ya nazi wewe. As long as atapata faida yeye binafsi, islam na familia yake hajali kitu. Mr, Selfish, me myself and I. Ni upepo mchafu, utapita tu.
 


Nadhani umesoma kwa haraka haraka. Rudia tena na kwa makini zaidi, utakutana na sentence inayosomeka hivi:

"It would be preferable that Tanzania take this action of its own accord."

Swali la kujiuliza, kama hatufanya sisi wenyewe kama walivyotushauri nini kitafuata?
 
hopeless thread...

katika zama hizi bado tunachaguliwa watu wa kuongea nao...nyambafu!!!
 
Inatisha kama somalia tumeizidi kwa kuomba omba jamaa wakikata mirija twafa
 
Tanzania ni inchi isiyo fungamana na upande wowote! hawa wamerekani wanatakiwa walijue hilo... ukoloni mambo leo ulipitwa na wakati!
We unafikiri misaada mingi inayokuja TZ ni ya bure? TZ ni ya tatu ulimwengin kwa kupokea misaada toka nje pamoja na kuwa na raslimali nyingi kuliko nchi nyingi ulimwenguni. JK amekamata mlungula toka kwa waarabu na akakamata toka kwa wazungu; sasa mlungula utatutokea puani sisi wa TZ. TZ ni nchi inayofubgamana na upande wowote wenye hela na unaohitaji rasli mali za TZ. Kazi kwetu!
 
Wamerekani waanzishe jeshi la upinzani (Lord resistance army) wawape silaha watawapa wakristo wengi sana ambao wako tayari kwenda msituni kumuondoa JK (after all ni dhaifu sana) na anajipendekeza kwa wakristo..

Fanyeni fasta undeni kikundi mtapata support ya amerika kelele za nini??
 

Toa maelezo ya kina, Mwarabu yenye anataka pesa au anatoa sadaka kupitia matumizi ya bendera ya bongo? Wote wezi.
 

Mi sawa na mpita njia ila kwa taarifa yenu hata Uranium ya Iran ilitoka Tz kwa kupelekwa na Rostam Azizi aliyekuwa anaichimba kinyemela toka sehemu husika. Deal ilianza wakati wa Mwinyi na deal lenyewe ndo hadi leo linapeleka mchanga katika machimbo mbali mbali na kiwanda chetu cha cement hapo Wazo hill. Na deal ni kampuni ya Caspian ambayo inatokana na mausala ya ukulima wa mpunga bonde la Rufiji (mambo ya Rubada). Mradi huo uligharimiwa na serikali ya Iran na baada ya miaka 2 mitambo yote alikabidhiwa Rostam ingawaje mitambo iliingizwa kwa msamaha wa kodi na ilikuwa na MoU kuwa baada ya mradi itakuwa mitambo ya serikali. Kwa mshangao ikakabidhiwa kwa RA na ndo sakata la kurutubisha likaendelea kule Iran. Yote USA wanajua na walimtaka JK awe rais ili wapunguze uwezekano wa kuendelea kupeleka mambo hayo huko. Kwa sasa kuna uwezekano kwa kushinikizwa na USA RA hatarudi hapa TZ maana ... ndo hivo tena.

Chanzo cha habari ni kuunganisha mambo kati ya Caspian na RA na mambo yaliyojiri baada ya hayo yote.
 
Njiwa, how do you connect a statement/letter from the US Congress with CDM? Siyo kila anayeipinga serikali hii analipwa na CDM. Kwa watu kama wewe critique yeyote ya hii serikali ni attack kwa CCM. Lazima uelewe kwamba US wana interest zao ambazo viongozi wetu hapa TZ wameshawaahidi kuzi-support. It's international relations na as you can see budget yetu imejaa mashimo ambayo yatajazwa mainly kwa ajili ya hizo ahadi. Of course na Iran nao wamepewa ahadi na hao viongozi wetu ili watusaidie kwenye sehemu kadhaa. Sasa kama utashindwa kuelewa umuhimu wa kuwa mwangalifu wakati marafiki zako wawili wanagombana, then una problem ya kuelewa maisha in general - pure common sense. Kwenye issue kama hii ukorofi na ubabe unao-advocate hautusaidii sisi au mwingine yeyote.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…