Tanzania ni sawa na Marekani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania ni sawa na Marekani

Discussion in 'Jamii Intelligence' started by echuma, Oct 16, 2012.

 1. echuma

  echuma JF-Expert Member

  #1
  Oct 16, 2012
  Joined: May 20, 2010
  Messages: 326
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Nchi ya Tanzania ni sawa na Marekani( sio kiuchumi japo inawezekana) najaribu kujenga hoja binafsi wanaoniunga mkono karibuni na wanaonikosoa pia karibuni.

  Kihistoria kabla ya wazungu kwenda bara la Amerika kulikuwa na wahindi wekundu ambapo bara hili liligunduliwa na Bw Christopher Columbus.

  Kipindi cha utumwa Uingereza walikuwa wanaongoza kwa kushikilia makoloni mengi kuliko taifa lingine hivyo walikuwa na watumwa na watu wengi nchini kwao kutokana na idadi hyo kuwa kubwa wale waharifu walioshindika walikuwa wanapelekwa huko (marekani) kama adhabu, pia kilivyofika kipindi cha kufuta utumwa kulikuwa na waafrika wengi ambao walikuwa wameelika kipindi hicho muingereza kwa kuogopa kuwarudisha Africa alijua wakirudi watawaelimisha na wengine hivyo nao pia akawapeleka huko Marekani ambao ndio tunawaona leo (black Americans) wakaanzisha taifa lao la watu wakorofi na wenye akili ambapo leo hii ndio taifa lenye nguvu kubwa.


  Kwa upande wa Tanzania hakuna historia inayosema kabla kulikuwa na watu wa kabila gani ila ni inaonyesha imeundwa kutokana na vita vya wenyewe kwa wenyewe katika kupanua makoloni,inavyoonekana ilikuwa kila kabila lilitokea upande wake na likifika sehemu wakapumzika na kutulia basi panakuwa pa kwao mfano wangoni hao asili yao ni south africa na makabila kama wasukuma ukienda malawi utakuta vivyo hivyo matamshi na maana japo hawaitwi wasukuma hivyo ndivyo likaanza kuzaliwa taifa la Tanzania baadae bila kumtambua mwezako wakaja waarabu ambapo wakatuia sawa hill kutokana na kutofautiana ndimi na matamshi tukawa tunafeli na kila mtu anasema lake ikawa ni kuigana ukinifanya nitumia neno lako mapema nikalizoea basi ndio linapita ila kwavile waarabu ndio walikuwa wanauwezo hvyo maneno mengi yalitoka kwao vivyo hivyo wareno na hata waingereza wametuachia msemo tunasema tunatohoa na baadhi ya maneno hayapo kabisa katika lugha ya kiswahili sababu kulikosekana nani mwenye nguvu ya kutukaririsha wengi hivyo ndivyo taifa la Tanzania likatokea.


  Kutoakana na maelezo ya hapo juu vitu ambavyo vinafanana ni pamoja na nchi zote mbili zinakalia ardhi isiyokuwa ya kwake,Kwa sababu ni nchi zenye watu wa makabila mbalimbali hawaongei lugha fasaha( marekani wanakiingereza chao tofauti na cha Waingereza japo wanasikilizana na Tanzania tunakiswahili chetu tofauti na nchi zingine wanaotumia kiswahili),Nchi zote zina watu wenye akili sana.

  Ndio maana hata kampeni ya vazi la taifa inapata shida sababu sio watu wa kabila moja ni zaidi ya makabila 120 ambayo yanamavazi yao ya kimila lakini wameyaacha kutokana na utandawazi na ukoloni hvyo kila mtu atachagua kinachoendana na asili yake sababu asili ya mtu haimtoki( my take: wachague wenyewe halafu walitangaze tufanye kama limepitishwa tu bila kujadiliwa ila kila mtu aliheshimu)
   
 2. Nyanidume

  Nyanidume JF-Expert Member

  #2
  Nov 23, 2012
  Joined: Oct 24, 2012
  Messages: 2,156
  Likes Received: 379
  Trophy Points: 180
  Kuhusu vazi la taifa, kamwe sitaliheshimu vazi ambalo najua kabisa limetokana na asili ya kabila lingine tofaut na mim, kama hiyo kamati ya kutafuta vazi la taifa imeshindwa kubuni hilo vazi basi wakae pembeni watupishe watu wenye utaalam huo tufanye kazi
   
 3. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #3
  Nov 26, 2012
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 9,003
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  usawa kati ya USA na Tanzania sijauona kwenye hii thread.
   
 4. echuma

  echuma JF-Expert Member

  #4
  Nov 28, 2012
  Joined: May 20, 2010
  Messages: 326
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  uanzilishwaji wake marekani sababu walioko sasa hivi sio wazawa wa kule wazawa ni wahindi wekundu ambao sijui hata kama bado wapo ambapo walipelekwa wazungu wakorofi kama adhabu na waafrika walioelimika ili wasiwaelimishe waafrika wengine ndio wakalitengeneza taifa la Marekani linaloonekana leo.hata marekani yenyewe sio nchi moja ni muunganiko wa majimbo*

  Na kwa Tanzania wanaoishi hapa sasa hivi sio wazawa wa eneo hili ni kutokana na vita vya kupanua makoloni ndio ikawa watu wanatafuta mahali pa kujificha na kupata hifadhi ndio ikawa kila mtu anafikia kwake ndio maana nchi ina makabila zaidi ya 120 ikawa makabila yote yanamila tofauti na desturi nyingine baada ya uhuru na kuathiriana kwa lugha ili ipatikane moja ndio kikaja kiswahili kwa kuiba na kuchanganya maneno ya makabila mbalimbali ikapitishwa sera ya ujamaa ili kuyaunganisha sababu makabila 120 kuyaunganisha hivi hivi ingekuwa tatizo ambapo ndioa maana hadi leo watu wanajitahidi kuuhama ujamaa lakini bado tunautumia rafiki,jirani,yako ni ndugu yako.

  kitu ambacho zinatofautiana ni Marekani imeundwa na wazungu wakorofi ambao walishindikana uingereza ( kikawaida mwizi anaekuibia kila siku anaakili na mipango mizuri kukuzidi) na waafrika walioelimika na Tanzania inaundwa na makabila ya wapiganaji waoga waliokuwa wanatafuta mahali pa kujificha wapate malazi.

  Nahisi ndio maana kila kitu tunapuuzia mambo ya msingi kidogo tu tunaacha,umeme unakatika bila taarifa tuko kimya,watu wanaiba mahela mengi ya serikali ambao ndio sisi tuko kimya,watu wanadanganywa na kupelekwa mahakamani kesi inavuma miezi miwili tunapuuzia ,Dk kateswa watu wamesubiri arudi amechukua mwezi kimya watu wameshapuuzia, ishu za kagoda,Dowans,Richmond,Radar,Ndege ya Rais,Epa *watanzia hawana stori nazo tena sasa hivi wanawaza uamsho na kuchomwa makanisa nayo kidogo itapita, Balali kaonekana baada ya kusemekana alifariki kitambo nani amejali tena karudi na ishu za kisiasa anatabiri kifo cha CHADEMA,Hii ni kutokana na taifa ni la waoga na watu wa kukimbia ukweli na kujificha ili mambo yapite turudi na ndio maana kila anaepata madaraka anataka kula kwanza sababu anandugu zake wengi hawana kazi wanamtegemea na hawana kazi anafikiria kwanza mizigo yake na sio kazi yake na jina.
   
 5. Marry Hunbig

  Marry Hunbig JF-Expert Member

  #5
  Nov 28, 2012
  Joined: Sep 4, 2012
  Messages: 1,509
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Tanzania ni ya watu wenye akili sana?
  Tanzania ni sawa na marekani?
  Mleta thread kajipange upya,unatuingiza "chaka".
   
 6. echuma

  echuma JF-Expert Member

  #6
  Nov 28, 2012
  Joined: May 20, 2010
  Messages: 326
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  chaka lipi soma vizuri hiyo comment yangu ya pili*
   
 7. K

  Kingsimba JF-Expert Member

  #7
  Nov 28, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 376
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Kama wakina shalo balo na kala pina ni sawa na maise na dmx hapo sawa.... Wasanii wengi kuliko wafanya kazi hapo sawa na amerca nakubari...sijui mexcan people sawa na wapemba na wajamaica nahizi ni waunguja...lol uchumi sisi tuna madini wamarekani hawana haha tanzanite ni kwetu tuu amerca hamna....wagogo wapo bongo usa cjui.
   
 8. BASHADA

  BASHADA JF-Expert Member

  #8
  Dec 24, 2012
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 487
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Simply, you support migration theory and hamitic hypothesis.

  That the original native people were inferior, and were easily colonized, pacified and dominated by the invasion by the superior race.
   
 9. morphine

  morphine JF-Expert Member

  #9
  Feb 25, 2013
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 2,566
  Likes Received: 109
  Trophy Points: 160
  very interesting topic :A S 39:
   
Loading...