Waridi
JF-Expert Member
- Mar 30, 2008
- 1,025
- 174
kumbe tanzania ni mali na sio jina la nchi!!didn't know that.!basi jibu sahihi ni jk na ridhiwani
Mkuu Nyabhingi, ninaona ndani ya jibu lako sababu ya watanzania wengi kutokuwa wazalendo maana wanaona nchi hii ina wenyewe na wenyewe ndio hao uliowataja, au kama wanavyosema wengine ati ni mali ya mafisadi. Kwa mitazamo hii hatuwezi kutarajia uwepo wa moyo wa kulijenga taifa. Ya nini kutumika ili mtu na mwanae wafaidike, au mafisadi wawe ndio wenye kufaidika.