tanzania ni kama kaburi la tajiri..

Jaslaws

JF-Expert Member
May 31, 2011
6,036
2,000
"Dont judge a country by ts politics"si kola kitu ni siasa,tusihukumu nchi kwa siasa zake,wanasiasa wanaichafua sana nchi yetu na ndio maana majirani zetu wanazidisha dharau,kunatukio limetokea weeked ilopita kwa kweli linatia uchungu,kama mnavojua tanzania ilichaguliwa kua makao makuu ya soko la pamoja la jumuiya ya africa mashariki,mji wa arusha ndio uliobaharika kujengwa soko ilo,tangu mwaka 2007,almashauri ya arusha walitoa kiwanja,ama sehemu makao makuu hayo yatakapo jengwa,tangu wakati huo mpaka juzi ijumaa maamuzi ya kujenga makao makuu hayo yalipotenguliwa waziri wa mambo mh mb membe amekua kikwazo,aligoma kusign ili eneo ilo lipitishwe rasmi kwa matumizi hayo..mpaka hivi nnavoongea mji wa kigali ndo sasa umepewa tenda hiyo hiki ni kituko cha kwanza...kituko cha pili sasa ni kilimo kwanza.... tangu hii proposal ilipoandikwa na vijana flani wa bagamoyo na kisha kumpa mtoto wa waziri husika na yeye kuipeleka kwa babayake na ik!pitishwa na serikali,hakuna la maana lililofanyika propasal hsikua mbaya na wala hakuna urasimu uliofanyika brovo kwa hawa vijana kwa sababu walitimiza wajibu wao.kma tunavojua kilimo hapa kwetu kinachangi asilimia 10 tu ya bajeti, sasa kituko chenyewe ni hivi mwaka 2008 ethiopia katika bajeti yao kilimo kilikua kinachangia kwa asilimia 3 tu kayika bajeti yao,mwaka huo walikuja na kuchukua propasal yetu ile ile ya kilimo kwanza,mpaja dk hii nnayo andika kilimo kinachangia asilimia 33 katika bajeti ya ethiopia;nasisitiza tena ni kwa propasal ile ile ya kilimo kwanza wamepanda kutoka asilimia 3 mpaka 33..mwaka jana ama mwanzoni mwa mwaka huu kama sikosei kwa mbwe nyingi na wakashonewa sare maalumu wazira ya kilimo ilituma timu wao waziita timu maalu kwenda ethiopia waende wakajionee na wajifunze ni kwa jinsi gani ethiopia wameweza kupiga hatua kias kile..jamani huu si ujinga aliokua anausema nyerere kila siku..?watensaji nchii wanatuangusha sana.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom