Tanzania News & Blogs - RSS Reader - Android App + SourceCode

Tanzania News & Blogs - RSS Reader - Android App + SourceCode

wazo zuri kaka ila watu wengi hata hao wamiliki wa blogs hawaijui hio rss ungewaandalia makala yao nao ukawapa faida zake ili waieke
 
wazo zuri kaka ila watu wengi hata hao wamiliki wa blogs hawaijui hio rss ungewaandalia makala yao nao ukawapa faida zake ili waieke

Wazo zuri pia. Kwa haraka haraka nime-update post hii na kuweka link ya makala inayofafanua faida za RSS kwa makundi mawili ambayo ni publishers na subscribers wa blogs na tovuti zote kwa ujumla. Link hii hapa tena > RSS Advantages
Ila kama ulivyopendekeza nitatafuta muda kuiandalia post maalumu.
 
Back
Top Bottom