Tanzania nchi ya pili Afrika kwa Uhuru wa kutoa maoni baada ya SA iko chini kidogo ya UK, CHADEMA mnalijua hili

Acha kupanic ,

Hii ripoti sio ya CCM, Kwanini utufokee?
 
Ila labda ni kweli kama waliohojiwa na watafiti ni kina kalamabud palagamba , kina madelu,bashiti , na mleta post kadhalika kwa vyovyote haya ndo yangewa matokeo ya utafiti! Binafs we mleta post ungekuwa mwanangu honestly ningekucharanga mapanga nkawapikia mbwa supu! Wangenisaidia kupambana na wanyama waharibifu shamban kuliko kumiliki mtoto chupi hivi
 
Mmeishiwa hoja kabisa mnawaza kucharanga mapanga,

Mimi ukinichukia unakosea sana, Mimi sijaongeza chochote kwenye ripoti hiyo,
Kosa langu nini?

Lazima mjifunze kusikia msichopenda kusikia,

VIVA TANZANIA VIVA |VIVA SAMIA VIVA
 
Nipeni kadi ya CCM,Nataka kuunga juhudi za Mama Samia, Sababu nazijua mwenyewe
 
Sikuchukii bablai ila nakusikitikia sana na uvccm yenu ya sasa! Na kama huko kwako au kwenu unaitwa baba au mama ni wazi hao wanaokuita hvyo wanaish kwenye mazingira magumu sana. Kama tungekuwa na uhuru huo! Yu wapi ben sanane? Yu wap alfons mawazo? Yu wap daud mwangosi? Yupo wap azori gwanda? Mbowe ,Mdude na wenzake mmewapatia ajira magereza
 
Nipeni kadi ya CCM,Nataka kuunga juhudi za Mama Samia, Sababu nazijua mwenyewe

Daaah, Kweli Mama tishio,
Kama Taarifa ndio hizi Lissu arudi tu wazungu watamtimua namba hazidanganyi
 
Mkuu hii ripoti ni ya mwaka huu,

Sasa mambo ya kina Ben Saanane ni ya mwaka 2021.?

Hii ripoti inatoka kila mwaka na mwaka huu ndio tumefanya vizuri zaidi
 
Mkuu hii ripoti ni ya mwaka huu,

Sasa mambo ya kina Ben Saanane ni ya mwaka 2021.?

Hii ripoti inatoka kila mwaka na mwaka huu ndio tumefanya vizuri zaidi
 
Nashuhudia freedom of speech ndani yanhuu uzi๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Jana mlitangaziwa watoa maoni mkusanywe mkatoe maoni yenu kunakohusika badala ya vichochoroni.
 
Ndani ya Uongozi wa Rais Samia,
Mahakama huru,
Bunge huru,
NGOs huru
Media huru

TanzaniakwaniSisi tunatakaje?
 
Sa100 mi10 tena
 
Ndani ya Uongozi wa Rais Samia,
Mahakama huru,
Bunge huru,
NGOs huru
Media huru

TanzaniakwaniSisi tunatakaje?
Uhuru wa Mahakama upo wapi?
Uhuru wa bunge upo wapi?
Some people are alive only because it's illegal to kill them.
 
Hiyo ni ya mwaka gani sijui au ulichofanya ni converting to word edit before reconverting back to pdf.

Tanzania ni moja ya nchi kumi kwa sasa duniani zeye rekodi mbovu sana kuhusu uhuru wa kutoa maoni.

Hatuwezi kudanganywa na huu ujinga mnaoufanya humu wa kughushi taarifa tabia ambayo inafanywa sana na hii serikali kughushi takwimu za kiuchumi. Wadanganye wajinga lakini sio sisi wajanja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ