Tanzania nchi ya pili Afrika kwa Uhuru wa kutoa maoni baada ya SA iko chini kidogo ya UK, CHADEMA mnalijua hili

Kwani msingi wa upinzani ni ili uhuru wa kutoa maoni?? Kama hata bado huelewi upinzani unataka nini - nitakukumbusha. Upinzani unataka kutawala kwa namna tofauti!! Hilo tu!!
 
😍
 
Huyu Mama anaenda kuwafuta wapinzani very soon,

Walitegemea kuonewa huruma kwamba wananyanyaswa,

Kwaripoti hizi Chadema Mwafwaa
Ama kwa hakika akili ni nywele kila mtu ana zake πŸ–•πŸ‘†πŸ‘†πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£
 
Demokrasia si lazima ifanane kila nchi....

Ndio maana baada ya MAREKANI kupigana nao kwa miaka 20 hatimaye wamewaachia nchi "rafiki zao" Taliban watawale kwa SHARIA na MILA ZAO.....

#KaziIendelee
#NchiKwanza
#SiempreJMT
 
Bangeh! Sio winston au club sm! Bange inahusika zaidi kuharibu kichwa na sio mapafu! Kama fegi! mtoa post una uraibu wa bange ya tarime!
Wewe koma kabisa! Tuachie bangi yetu, usifananishe bange na mambo ya kijinga, uyo havuti bangi, angekuwa anavuta bange ungemwamkia wewe...
 
Demokrasia si lazima ifanane kila nchi....

Ndio maana baada ya MAREKANI kupigana nao kwa miaka 20 hatimaye wamewaachia nchi "rafiki zao" Taliban watawale kwa SHARIA na MILA ZAO.....

#KaziIendelee
#NchiKwanza
#SiempreJMT
Very true,

Chadema wameishiwa pumzi kabisa, Hoja zao zote mama anawajibu kwa vitendo,

Hii ni pigo kubwa kwa Upinzani
 
Demokrasia si lazima ifanane kila nchi....

Ndio maana baada ya MAREKANI kupigana nao kwa miaka 20 hatimaye wamewaachia nchi "rafiki zao" Taliban watawale kwa SHARIA na MILA ZAO.....

#KaziIendelee
#NchiKwanza
#SiempreJMT
πŸ‘πŸΏ
 
Asante sana kwa kutujulisha.
 
Kinachotusumbua nchi hii ni unafiki,ubinafsi,njaa na kunyenyekea kiongozi au mtu flani,una akili timamu kabisa kuleta uzi kama huu,wakati nafsi yako inakusuta,unaona kabisa yanayoendelea nchini hadi roho yako inakuuma,kuwa serious basi Mkuu mtalamba hadi mavi ya viongozi kwa upumbavu na ufinyu wa akili zenu, mnabadirika kama kinyonga akija huyu sifa kedekede,akija mwingine na falsafa zake mnabadir gia angani, STUPID KABISA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…