Tanzania Nchi Ya Ajabu Ajabu Tu, Kodi Ya Gari Unalonunua Japan Au Kwingine Iko juu Kuliko Bei ya Gari Lenyewe.

Mm mwenyewe nlikuwa nashangaa, watu wanasema v8 zinauzwa mpaka milion 400 kumbe ukiangalia v8 mpya kutoka Japan ni kama dola elfu 80 tu lakini likija tz hizo nyingine ni kodi tupu mpka linafikia milion 400
 
Vi-wonder si ndo hivyo,au ulitegemea kile cha "Nyumbu" na UFI pekee?
 
Vi-wonder si ndo hivyo,au ulitegemea kile cha "Nyumbu" na UFI pekee?
 
HII NCHI YAANI WASOMI WALA HAWASUMBUKI KUWA WABUNIFU, HILI NALO MPKA RAIS AONGEE.
PUNGUZA KODI YA MAGARI NDANI YA MIAKA 7, WATU WAMILIKI MAGARI YA KISASA, WATALIPA USHURU WA MAFUTA NA VIPURI. AJALI ZITAPUNGUA, NCHI ITAKUWA SAFI NA SI DAMPO. TUTATUNZA MAZINGIRA, UNAZUIA RAMBO, UNAINGIZA MAGARI CHAKAVU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…