Tanzania National Football Team (Taifa Stars) | Special Thread

Kesho nitanunua magazeti yote ya michezo,nami nifurahi. Waandishi msiwavimbishe vichwa wachezaji,mpira wetu bado.
 
Wamemtoa mfungaji wao wa goli la kwanza,D. Phiri,kaingia Pasca Manhanga.
Ni dakika 7 za nyongeza,zimebaki kama 4
 
Back
Top Bottom