Tanzania na ving'amuzi (analogy to digital)

Kubingwa

JF-Expert Member
Apr 23, 2010
505
69
Wadau naomba mnielimishe kuhusu huu mfumo ambao tumeuanza yaani kutoka analogia kwenda digitali.Sijaelewa TV zetu za hapa ndani itakuwaje,maana inavyoelekea kila kituo cha tv kitakuwa na king'amuzi chake,mifano ipo kama vile startimes na agape tv.SWALI: Itakuwaje mteja atamudu kununua na kulipia kila mwezi ving'amuzi vya tv stations zote endapo vitafanya hivyo?
 
Back
Top Bottom