babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 11,119
- 27,201
Mwaka 2019 mlituambia hivi.
"TCRA yaja na suluhisho la utitiri wa Ving'amuzi.
Mkurugenzi mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), James Kilaba aliliambia gazeti hili jana kuwa kabla ya mwaka huu kuisha, mfumo wa ving’amuzi utabadilika na badala yake wateja wataweza kutumia king’amuzi kimoja kupata matangazo yoyote ya vituo vya televisheni.
Mteja hatalazimika kuwa na ving’amuzi (decorder) nyingi bali atalazimika kununua kadi ya kituo cha televisheni anachotaka na king’amuzi hicho kipya kitaweza kumpa matangazo hayo."
“Siwezi kusema hili litafanyika mpaka lini, lakini kabla ya mwaka huu kwisha litakuwa limefanyika,” alisema mkurugenzi huyo.
“Hili jambo ni mchakato, lazima ushirikishe wadau na wao waridhie. Ukisema uliharakishe utaharibu soko.”
Sasa ni mwaka 2021 hatuoni mlicho tuahidi mwaka 2019
Soma zaidi >>> TCRA: Kuanzia Desemba 2019, mtu atahitaji king’amuzi kimoja tu kuona chaneli za bure na za kulipia