Tanzania na rasilimali zake ni mali ya wananchi, hatukubaliani na makubaliano kuhusu DP World

deus tedeum

New Member
Sep 9, 2022
2
0
Tanzania na rasilimali zake ni mali ya wananchi wa Tanzania, na Wala si Mali ya nchi nyingine . Watanzania wengi Sana hasa wazee wetu ambao hawaja bahatika kupata elimu kubwa na mathubuti, hawawezi kuambilika kwa sababu wamesha pumbazwa na c.c.m kwa sababu walikuwa nacho tokea zamani, maana yangu Nini haswa?

Ni kwamba hawawezi kupiga kelele kwa sababu hawajui Mambo hayo ila Sasa wanafalsafa, wasomi ,pamoja na wenye weledi wahali ya just ndiyo wanaoweza kupinga na kupiga kelele kulaumu maswala haya, ambayo yamekuwa tishio kwa Maliza Tanzania, Mimi naweza kusema sisi sio wapumbafu hatujui Nini maana ya "agreement" na "contract"!!!!!!!

Jamani tunatakiwa kuwa macho kwa sababu hii nchi nimali ya jamii nzima bara na visiwani ... ( Hapa nadhani bila Shaka kuna ngedere walisha lambishwa asali na asaili ikawa tamu ndio maana wanataka kuotesha mahindi sehemu ambayo hayawezi kuota....)n.k. wasomi, wenye mapenzi mema, wanafalsafa, tusikubali kwa sababu yote haya yaliyo andikwa kwenye jalada Hilo! Niwongo na pia we are not stupid we need seriousness in this ......
 
Back
Top Bottom