zungu santana
Member
- Oct 14, 2014
- 23
- 18
BOSS: Unataka kuanza na mshahara gani kwa Mwezi?
DOGO: 4 Million, Gari niwe najaziwa mafuta kila mwezi, nyumba ya kuishi nalipiwa kila kitu, yaani kodi, umeme na maji, matibabu na posho ya chakula.
BOSS: Unaonaje tukikupa 20 Million na vitu vyote ulivyotaja na likizo ya miezi 2 tunakulipia nchi yoyote unayotaka kwenda Duniani?
DOGO: Eee Bwana eeehh, acha utani.!!
BOSS: Mi naendeleza tu, utani umeuanza wewe!!