Harafi mtu akisema ukweli, uingizwa kwenye kundi la wasaliti. Wasaliti wakubwa wa nchi hii ni CCM na serekali zao zote. Leo wanaongea nikama nchi hii ilitawaliwa na chama kingine. Wametawala wao miaka yote hii, leo mtu moja anasimama anasema, TUMECHEZEWA VYAKUTOSHA NA KUIBIWA SANA. Anachekesha sana. Walio iba ni nani? CUF, CHADEMA, TLP, DP ACT au nani? Madudu yote haya yote yanaolitesa taifa, kiini ni CCM. Tusidanganye watanzania. Na hili ccm hawakiri hata kidogo. Mafisadi wote papa, wapo ccm mpaka leo.