TANZANIA NA MAWAZO YA ABUNUASI

ANDREW JOSEPH

JF-Expert Member
Jul 17, 2017
422
405
Hapa navuta picha tu kama Tanzania ingekuwa kama Misri ingekuwaje nchi yenye jangwa kila mahara

Tuna mito,bahari,maziwa,ardhi nzuri ya kilimo pamoja na maeneo mengi ya utalii

Miaka 50 toka tupate uhuru bado tunazungumzia habari ya madawati sijui madawa hospitalini mala mikopo ya wanafunzi shida harafu mtu unatuambia serikali ina uchungu na watu wake?

Majizi yaleyale yaliyoingia mikataba ya kipumbavu kwenye madini yetu eti leo ndio wanasimama majukwaani na kusema wana hasira na mikataba iliyoingiwa

Hivi watanzani tujiulize siku hawa watu wanakuja kuwekeza walitumia mtutu wa bunduki kujipatia mikataba? Au kuna watu walikaa mezani na kuchukua asilimia zao harafu wakakaa pembeni?

Mwambieni mheshimiwa watanzania tuna akiri timamu hao anaowatetea kuwa wamefanya kazi nzuri tuwaache wapumzike na kuapa kuwalinda kwa nguvu zake zote hao ndio watuhumiwa wakubwa wanatakiwa kuwajibika kwa uzembe walioufanya kipindi wako madarakani

Ni upuuzi kutangaza vita ya waharifu wakati walioasisi wanakumbatiwa
 
Mkuu hujui kwamba hiki chama kimekua chini ya upinzani tangu uhuru? Majizi ndo yametufikisha hapa, saiv tuko nawatu wana hyuman fesi
 
Harafi mtu akisema ukweli, uingizwa kwenye kundi la wasaliti. Wasaliti wakubwa wa nchi hii ni CCM na serekali zao zote. Leo wanaongea nikama nchi hii ilitawaliwa na chama kingine. Wametawala wao miaka yote hii, leo mtu moja anasimama anasema, TUMECHEZEWA VYAKUTOSHA NA KUIBIWA SANA. Anachekesha sana. Walio iba ni nani? CUF, CHADEMA, TLP, DP ACT au nani? Madudu yote haya yote yanaolitesa taifa, kiini ni CCM. Tusidanganye watanzania. Na hili ccm hawakiri hata kidogo. Mafisadi wote papa, wapo ccm mpaka leo.
 
Pole sana mkuu, ukikumbuka kwamba hii ni Africa utajialum kupoteza muda wako kulaum haya
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom