Tanzania na marais waliothubutu kwa vitendo!

Tanzania na marais waliothubutu kwa vitendo!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
104,319
Reaction score
183,534
Rais Mwinyi ktk miaka ya 80 aliitisha baraza la mawaziri ikulu na kulivunjilia mbali, ilikuwa bonge la surprise! Aliwahi kumteua Mrema kuwa NWM kinyume cha katiba. Rais Kikwete mnamo Feb 2008 alikubali mara moja kumfuta kazi rafiki yake Lowasa. Pia mara kadhaa ametimua kazi mawaziri na ni serikali yake iliyoweka historia ya kufunga mawaziri. Pia ni Rais aliyelipa mishahara ya kocha wa kigeni wa T/stars. Lakini yupo WM Sokoine aliyefunga wahujumu uchumi. Nawasilisha tujadili!
 
Duuuh kichwa cha habari na maelezo vitu viwili tofauti
 
et kutimua mawaziri!!!kikwete hajawah kutimua waziri hata m1 zaidi ya shinikizo la bunge
 
nmekimbilia kufungua uzi nikajua kuna la maana kumbe pumba tu..
 
Back
Top Bottom