Tanzania mpya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania mpya

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by CHITASONLIKA, Jan 17, 2011.

 1. C

  CHITASONLIKA New Member

  #1
  Jan 17, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naiona Tanzania mpya inakuja,....yenye viongozi wanojali maslahi ya taifa na wananchi kwa ujumla.viongozi wasiozibwa midomo panapokuwa na jambo nyeti la kulitetea.
  MAWAZIRI Mwakyembe na Sitta ni mifano BORA na yakuigwa Tanzania,naamini wapo wengine watongezeka nyuma yao.nani asiyejua kuwa Dowans ni mradi wa watanzania wenzetu wasiojali kupotea kwa hela la walipa kodi.Tanzania yenye watu walioamka na wasiotaka kupelekwapelekwa kama wendawazimu na wajinga.
   
 2. KIMICHIO

  KIMICHIO JF-Expert Member

  #2
  Jan 17, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 1,184
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Wimbo au shairi?sijakuelewa mkuu.
   
 3. malkiory

  malkiory JF-Expert Member

  #3
  Jan 17, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 272
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni mwanzo na dilili nzuri za kusambaratika kwa CCM.
   
 4. e

  emma 26 Senior Member

  #4
  Jan 17, 2011
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 108
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hujaeleweka
   
 5. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #5
  Jan 17, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  ameeleweka,kawasifia MAKYEMBE NA SITA ama hukulifurahia hilo,wape sifa zao pale inapobidi ama kwa kuwa ni wanaccm? @EMMA

  MAPINDUZIII DAIMAAAAA
   
Loading...