Tanzania mpya imezaliwa, angalia foleni ya kukata tiketi ya mabasi ya mwendo kasi

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,811
Watanzania tukitii Sheria za nchi yetu, tukiwa tumesimama kwenye mstari kwa mpangilio na utulivu mkubwa, hii ndiyo inayotakiwa na dalili ya wazi kwamba nchi yetu sasa is ready for take off Wazungu wanasema!

Ciq01TiWgAA2T8M.jpg
 
Nimependa tu kuona kuna mabasi ya kutosha!
 
Pale inapotekea serikali kuonyosha kuwajali watu wake, hata raia huwa wanatii she ria. Ila serikali ikishindwa kuonyesha kuwajali wananchi wengi pia huingia kwenye mgomo wa chini chini kwa kukaidi kutii sheria. Yes yawezekana ikawa ni take off,ila lazima jitihada ziongezwe kwa serikali na wanachi pia
 
Du, si utani aisee! Hapa Simon group watakuwa wameweka hata mzizi kutufanya wajinga sisi kuwa wajinga zaidi.
 
Nimependa tu kuona kuna mabasi ya kutosha!

Polepole tu tutafika, mabasi ni mengi hilo hata mimi limenifurahisha lkn lililonifurahisha zaidi labda ni utaratibu wao yaani kuna mabasi ya aina mbili kuna yale ya express ambayo hayasimami vituo vyote na yale ya kusimama kila kituo hivyo chaguo ni Msafiri kulingana na mahitaji yake! Ni mradi mzuri sana kwa kweli ilichobakia ni sisi kuutunza na kuuenzi tu!
 
Unachekesha sana MKUU dart ndio Tanzania mpya Ethiopia nchi masikini inajivunia Treni ya Umeme wewe Daladala nchi tajiri

penda chako hata kama ni kidogo, hata hao ethiopia waliaza na kutokuwa nayo. then pitia vizuri hyo source kuhusu uchumi wa ethiopia na TZ.
 
Tanzania mpya ya chama tawala kugeuza Bunge kama shughuli ya UNYAGO kila kitu kwa siri na mafisadi wakiendelea kupeta kwa raha zao huku Rais akiwa katia pamba masikioni. CCM Oyee CCM Oyee.

Kweli naiona Tanzania mpya ileeee inakuja.
 
bongo kama ulaya mfumo wa usafirishaji unaendeshwa kidijitar tiket za electronic,mabasi luxury,vituo bomba hadi raha
 
Watanzania tukitii Sheria za nchi yetu, tukiwa tumesimama kwenye mstari kwa mpangilio na utulivu mkubwa, hii ndiyo inayotakiwa na dalili ya wazi kwamba nchi yetu sasa is ready for take off Wazungu wanasema!

Ciq01TiWgAA2T8M.jpg

SAFI SANA ..TUTAFIKA HATA KAMA TARTIIB..ILA HAYA MABASI YA DALA DALA YAONDOLEWE
 
nonesense. kupoteza muda kwenye foleni ndiyo tz mpya, eh? huku sanasana ni kurudi nyuma! daladala kulikuwa hamna foleni ya tiketi, unapanda popote na kushuka popote kwa hisani ya konda
 
Back
Top Bottom