Wadau ningependa kufahamu kwa hapa nyumbani (Tanzania) Mitandao yetu (Vodacom, Tigo na Airtel) inatumia LTE(4G) bands zipi? Nimejaribu kumuuliza rafiki yangu google lakini sijafanikiwa kupata majawabu. Nataka kununua simu yenye uwezo wa 4G sasa nimekuta hizi bands zinatofautinana nchi na nchi.
Ushatajiwa mitandao yenye 4G kwa sasa hapa Tanzania assuming hauitaji nunua iPhone na hauitaji tumia Smart TZ inakupasa kununua International version ya simu na hapa namaanisha usinunue e.g Samsung Korea version hizi wanazi limit bands ila nyingine utazikuta zina 800Mhz na 1800Mhz kwa pamoja.
Hatuongelea Band ipi inasafiri kwa haraka sana and if you dive into that utapotoka trust me.
Kwa lugha rahisi lazima uwe na focus ya mtandao unaotaka tumia na simu unayotaka.
Ushaambiwa bands za mitandao ya simu hivo wewe ni ku google simu unayo focus na kuangalia kama bands zilizotajwa na Chief Mkwawa pale juu zipo katika simu unayokusudia kununua.