Tanzania LTE(4G) bands

Northern Lights

JF-Expert Member
Sep 24, 2013
383
347
Good morning

Wadau ningependa kufahamu kwa hapa nyumbani (Tanzania) Mitandao yetu (Vodacom, Tigo na Airtel) inatumia LTE(4G) bands zipi? Nimejaribu kumuuliza rafiki yangu google lakini sijafanikiwa kupata majawabu. Nataka kununua simu yenye uwezo wa 4G sasa nimekuta hizi bands zinatofautinana nchi na nchi.


Natanguliza shukran
 
Zantel wana 4G zanzibar bands zao hazijafahamika naona na soon or later wata launch DSM

Nahisi iPhones ndo Simu pekee zitakazoweza Cover mitandao yote as per iPhone SE
Apple iPhone SE - Full phone specifications

Mitandao imetajwa hapa japo naona details za TTCL/Vodacom hazijawa filled ila wanatumia Band 3 kama ilovokwisha tajwa hapo Juu na wadau

List of LTE networks - Wikipedia, the free encyclopedia

Global versions za simu kubwa kubwa kama Samsung,HTC,Sony zitaweza Cover almost FDD bands zote kwa kifupi Voda,Tigo,Smile na TTCL
 
Asante mkuu. Nimepitia hiyo link. Band 20 (800mhz) wanasema ndo iko vizuri maana inatembea distance ndefu

If you get it wrong utakuja Kujuta!

Ushatajiwa mitandao yenye 4G kwa sasa hapa Tanzania assuming hauitaji nunua iPhone na hauitaji tumia Smart TZ inakupasa kununua International version ya simu na hapa namaanisha usinunue e.g Samsung Korea version hizi wanazi limit bands ila nyingine utazikuta zina 800Mhz na 1800Mhz kwa pamoja.

Hatuongelea Band ipi inasafiri kwa haraka sana and if you dive into that utapotoka trust me.

Kwa lugha rahisi lazima uwe na focus ya mtandao unaotaka tumia na simu unayotaka.

Ushaambiwa bands za mitandao ya simu hivo wewe ni ku google simu unayo focus na kuangalia kama bands zilizotajwa na Chief Mkwawa pale juu zipo katika simu unayokusudia kununua.

Naamini umenielewa
 
Nimetumia hii 4G ya tigo kwa eneo nilipo Network yake si nzuri kabisa mnara unapotea kabisa hata mawasiliano unakosa haifai kuweka 4G only
 
nimejifunza kitu apa name nataka kuagiza simu nje, so huu uzi umenifaa sana though ni wa kitambo kidogo
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom