STEVEN SIMEON
Member
- Apr 7, 2016
- 62
- 35
Chini ya Uongozi wa Mheshimiwa Pombe sioni kwa nini Kenya waendelee kuwa juu kiuchumi na sisi tuchechemee , Tanzania ina kila kitu , raslimali za kutosha ,Kijiografia tuko vizuri mito na mabonde ambayo yakitumika vizuri yataleta mapinduzi makubwa katika kilimo , ardhi ya kutosha na idadi kubwa ya watu ambayo ni raslimali ya kutosha , hivyo tumuunge mkono mheshimiwa kwa jitihada zake za kurekebisha uchumi na kuwashughulikia mafisadi.