nyakubonga
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 6,772
- 11,817
mtoa mada huna akili, sorry lakini.
sio kila chombo cha Habari kukiamini habari zake, wengine wanaziokota kutoka kwenye vyombo vingine, Rais amekubali huu ugonjwa wa kupumua umeathiri wengi hata Waziri Mpango kaugua huko Ben Mkapa HospKwa hiyo ALJEZIRA, BBC, VoA, The TELEGRAPH Ni vyombo vya humu nchini? Au ni chombo kimoja cha habari?
hizo Habari ni za zamani km wiki 2 zilizopita zinazosambazwa na makaburu, leta habari za leo huu ugonjwa unadhibitiwa kwani tumeshajua ni UpumuajiCOVID-19 Cases Increase in Tanzania, Despite Government Denial
DODOMA, TANZANIA - Tanzania’s government insists there are no cases of COVID-19 in the country, but residents and doctors point to a growing number of illnesses and deaths. Opposition politicians say the government’s stance is endangering lives.
Nasa Kiwanga visits the grave of his daughter, Tully, who died earlier this month.
Tully passed away in a hospital in Dodoma, Tanzania’s capital, one week after falling sick.
Doctors told her family she died of pneumonia, but Tully’s father Nasa Kiwanga believes his daughter died of COVID-19.
What sent his daughter to the hospital, he said, was that she started having breathing difficulties when at home. After that, she was sent to the hospital on Saturday morning. Kiwanga said she lived for only two days with oxygen support, adding that, when the oxygen finished at the hospital, the life of my daughter ended there.
According to a doctor who asked not to be identified, Kiwanga is correct – his daughter died of COVID-19.
Habari za asubuhi, mkuu.Hivi wewe unae
Hivi wewe unaelewa dunia kweli
Kasome waraka wa Wizara ya Afya wa leo, kisha utajua umepungukiwa kiasi gani. Kwenye jukwaa hili, ufahamu wapo watu ambao ni suoer intelligent kwa kipimo chochote kile, halafu mpo watu kama wewe.mtoa mada huna akili, sorry lakini.
Mkuu unapoteza nguvu bure, huyu hawezi kukuelewa!Kwa hiyo ALJEZIRA, BBC, VoA, The TELEGRAPH Ni vyombo vya humu nchini? Au ni chombo kimoja cha habari?
Hata lugha yetu huijui?
Naona shida unayoipata ni maana ya vyombo mbalimbali Duniani.
Nikisema matunda mbalimbali hulimwa Tanzania, halafu nikayaelezea machungwa, mapera, mapapai na mananasi, unaelewa maana yake?
Asante, nashukuru.Mkuu unapoteza nguvu bure, huyu hawezi kukuelewa!
Tuna hatari sn kwa huyu diktetaMkuu hao wasomi wanafanya kwa shuruti si kwa kutaka wao.
Mfumo umesimama imara kutaka kufanya anayotaka boss wao, that why unaona waziri wa afya anafanya comed kila siku, anajua boss wake anapenda hivyo.
Ukienda tofauti na boss wako basi, anakutimua na anatuma wasiojulikana kufuatilia nyendo zako kuhakikisha ufiki popote.
👉🏾Watanzania wenzangu tutambue rungu kachukua asiyetakiwa na hakujua lile rungu lina nguvu/mamlaka kiasi gani ila alipojua ndo ameweuka kama wale jamaa waliouziwa vichupa mfano wa dhahabu!.
NOTE: Vaa barakoa na unawe mikono kwa sabuni na maji tiririka pia ukae mbali na mikusanyiko.
Mtu yeyote anayejua siasa za kijiografia akisoma andiko lako lazima atakomenti nilivyoandika.Kasome waraka wa Wizara ya Afya wa leo, kisha utajua umepungukiwa kiasi gani. Kwenye jukwaa hili, ufahamu wapo watu ambao ni suoer intelligent kwa kipimo chochote kile, halafu mpo watu kama wewe.
Angalie wenye akili wanavhochangia, halafu linganisha na hiki ulichokiandika.
Dumb reactionVery stupid questions from very stupid illiterate person!