tonicimmobility
JF-Expert Member
- Jun 17, 2025
- 493
- 1,038
Serikali ya Tanzania kwa kushirikiana na Shirika la Kuhudumia Wakimbizi Duniani, wamepanga kufunga kambi ya wakimbizi ya Nduta na Nyarugusu kwa upande wa wakimbizi kutoka nchini Burundi ifikapo Juni, 2026 baada ya mahojiano yaliyofanyika kuhusu sababu za wakimbizi hao kukimbia nchi yao kuonesha kuwa Burundi kwa sasa kuna amani ya kutosha hivyo wanapaswa kurudi kujenga nchi yao.
Soma pia: Mafunzo ya uimarishaji mpaka wa kimataifa kuwajengea uelewa wataalamu wa Tanzania na Burundi
Soma pia: Mafunzo ya uimarishaji mpaka wa kimataifa kuwajengea uelewa wataalamu wa Tanzania na Burundi