hivi, bila misaada toka nje maisha hayawezekani. Tutaendelea kutegemea misaada kwa ajili ya huduma za kijamii mpaka lini? Labda vikwazo vitasaidia kuinyoosha nchi hii!!!Kwa hiyo unafarijika nini na utapata faida gani pale wagonjwa watakufa kwa kukosa misaada itokanayo na vikwazo? Manyumbu bana! Jitu linawaza uroho wa madaraka tu.
Kwa hiyo unafarijika nini na utapata faida gani pale wagonjwa watakufa kwa kukosa misaada itokanayo na vikwazo? Manyumbu bana! Jitu linawaza uroho wa madaraka tu.
Mkuu rekebisha sentensi yako inayosomeka nchini Zanzibar, kwani hujui kuwa Zanzibar siyo Nchi?
Mkuu rekebisha sentensi yako inayosomeka nchini Zanzibar, kwani hujui kuwa Zanzibar siyo Nchi?
Kuna uwezekano wa Tanzania kuwekewa vikwazo kwa sababu ya kuipindisha democracy nchini Zanzibar na hili linaonekana wazi wazi jumuiya zote za kimataifa pamoja na waangalizi was uchaguzi zinawaunga mkono chama cha wananchi cuf pamoja na wananchi was Zanzibar kwa kujitokeza kwa wingi kupiga kura kwa amani.
Uchaguzi ulikuwa huru na uwazi. Suala hili la kuzuiliwa kwa kuendelea kutajwa matokeo lipo chini ya ccm na JK mwenyewe ndio wasimamizi was zoezi zima LA uporaji was democracia .
Kama viongozi was ccm hawato tendea haki tutaunga mkono juhudi za kimataifa kwa ccm kushindwa kusimamia democracy na amani ya nchi.
Kwa hiyo unafarijika nini na utapata faida gani pale wagonjwa watakufa kwa kukosa misaada itokanayo na vikwazo? Manyumbu bana! Jitu linawaza uroho wa madaraka tu.
Mkuu rekebisha sentensi yako inayosomeka nchini Zanzibar, kwani hujui kuwa Zanzibar siyo Nchi?
Chonde wasiweke vikwazo tumeumia sana miaka 10 inatosha.
Kwaninitunategemea misaada mpaka leo? Your comment is disturbing. Wagonjwa watakufa kwakukosa dawa real? Mbona dawa zenyewe hakuna? Maybe it's time tuondolewe kabisa hiyo misaada tutafute our own way of survival (kwakutumia rasilimali zetu). Tumekuwa crippled for a long time. It's time we stop being moochers.Kwa hiyo unafarijika nini na utapata faida gani pale wagonjwa watakufa kwa kukosa misaada itokanayo na vikwazo? Manyumbu bana! Jitu linawaza uroho wa madaraka tu.
Kwa hiyo unafarijika nini na utapata faida gani pale wagonjwa watakufa kwa kukosa misaada itokanayo na vikwazo? Manyumbu bana! Jitu linawaza uroho wa madaraka tu.