katika harakati za kuunga mkono uvamizi wa marekani kwa IRAN tanzania imejikuta ikiunga mkono marekani kutokana na mahusiano yake ya karibu na marekani, Tanzania pia imeahidiwa kupata gawio la mafuta kama wakifanikiwa kuiangusha Iran, mikakati hiyo imekamilishwa kwenye ziara ya Bush na jk amekubali kushirikiana na marekani bega kwa bega
Huu ni uongo na Bush hayupo kwenye siasa tena!. Iran kuangushwa itakuwa vizuri kwa wa Iran ambao hata kuandamana hawaruhusiwi!!
Ndio maana yake inasemekana majeshi ya ardhini ya Tanzania ni hodari kuliko yale ya Uingereza, na Marekani imevutiwa na sisi baada ya Ufanisi wa hali ya juu wa kumuondoa yule Jenerali muasi pale Comoro ambaye alikuwa na majeshi makali sana na ya kisasa yenye dhana nzito nzito.hebu tuanze taratibu.....kwa hiyo sisi tutaenda kuwatwanga waIran tukishirikiana na USA....?
Heshimu jamvi.katika harakati za kuunga mkono uvamizi wa marekani kwa IRAN tanzania imejikuta ikiunga mkono marekani kutokana na mahusiano yake ya karibu na marekani, Tanzania pia imeahidiwa kupata gawio la mafuta kama wakifanikiwa kuiangusha Iran, mikakati hiyo imekamilishwa kwenye ziara ya Bush na jk amekubali kushirikiana na marekani bega kwa bega
hebu tuanze taratibu.....kwa hiyo sisi tutaenda kuwatwanga waIran tukishirikiana na USA....?
Na ungo au hiyo mitumba yenu nayenyewe imeisha kuwa mikukuu!!!kwanza unaanzaje safari kwenda iran ujinga huu hautaiishia tanzaniahebu tuanze taratibu.....kwa hiyo sisi tutaenda kuwatwanga waIran tukishirikiana na USA....?
Mtumba wa ndege ya kijeshi na yenyewe ni yakichina!!Hahahhaahahaahaaaa huu upiuuzi umenifanya nicheke sana! Ninyi wa Tanzania mna kipi hasa cha kuwasaidia jesshi la marekani? Upupu tu!
Bado haijaniingia akilini, Marekani ina kura ya Veto mkuu ndani ya UN.​sio tanzania kushiriki kuishambulia IRAN bali Marekani wameomba Tanzania kuunga mkono Vikwazo dhidi ya IRAN