FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 36,083
- 40,735
Napendekeza kuanzishwa kwa app ya 'TRA EFD machine' itakayokuwa installed kwenye smartphone za wafanyabiashara ambapo itatumika kama mbadala wa EFD machine zilizozoeleka. Kwa sasa mashine moja ya EFD inagharimu takriban Tshs.800,000/=, lets say tunawafanya biashara milioni 1 wanaohitaji hizo mashine, it means kuna kama trillion 1 itabidi itumike kuagiza hizo mashine toka nje.
How it works.
1.) Mfanyabiashara ata Login kwenye app yake kutumia TIN no. yake kama user name, na kutumia password/passcode yake ili kuweza kupata access ya hiyo app ambayo imeunganishwa moja kwa moja na TRA. Hii inamaana anaweza kutumia simu yoyote ambayo inahiyo app.
2.) Baada ya ku-Login, anaweza kufanya function zote za EFD machine kwenye hio app, mfano ili kutoa risiti, ataingiza parameters zote za aina ya bidhaa aliyouza, kiwango cha pesa alichopokea, jina la mteja alienunua, namba ya simu ya mteja, TIN ya mteja nk., na baada ya kuingiza namba yake ya siri(kama unavyoingiza kwenye tigopesa) atabonyeza submit, na moja kwa taarifa za hayo manunuzi zitatumwa TRA, na immediately TRA systems zita-generate ana electonic receipt (kama receipt za miamala ya tigopesa) na receipt hiyo itatumwa kama ujumbe kwenye simu ya mteja pamoja na app ya mfanyabisahara kumfahamisha kwamba receipt aliyoomba imetolewa kwa mteja kikamilifu.
3.) Mteja atakaposimamishwa barabarani kwa ajili ya ukaguzi wa risiti ya mzigo alionunua, ataonyesha ile meseji ambayo namba zake za kumbukumbu zitaingizwa kwenye app ya wakaguzi ambao nao watalogin kwenye simu zao zilizounganishwa na system za TRA, na wataweza kugundua kama hiyo meseji ya receipt ni authentic au ni fodgery.
4.) Tuendelee kuiboresha...
DON FRANCIS
=================================
Update: 31/02/2022
Hatimaye wamefanyia kazi wazo langu
=========================
Update: 12/01/2023

INAUZWA - Jiunge na Dirm VFD uokoe 50% ya EFD machine, ni bora, salama kisasa zaidi
HABARI NJEMA... katika kipindi hiki cha kufunga na kuanza mwaka mpya, na kufanyiwa makadilio ya kodi za TRA, ninayo furaha kubwa kukujuza wewe Mfanyabiashara kuwa unaweza kuokoa mpaka 50% ya garama za kununua mashine za EFD endapo utajiunga na mfumo wa Dirm VFD ambao ni mbadala wa EFD machine...
www.jamiiforums.com
=========================
Update: 12/01/2023
Mamlaka ya Mapato ya Tanzania (TRA) yatoa orodha ya wasambazaji wa EFD/VFD
www.jamiiforums.com