Tetesi: Tanzania kununua Ndege mpya 5(regional jets) aina ya Bombadier

Tabutupu

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
13,185
18,513
Habari kutoka chanzo kisicho rasmi sana.. inasemekana ATCL inategemea kuleta ndege 5 (regional jets) aina ya Bombadier zenye uwezo wa kubeba abiria 50 hadi 70 ili kufufua biashara yake hasa kwa safari za ndani na nchi za jirani.

Fedha hiyo inasemekana ni mkopo toka TIB..
 
Kama ni kweli safi sana lkn kwanza FastJet ni lazima wasepe, iwe kwa hujuma ya moja kwa moja au ya chini chini lkn ni lazima waondoke kwetu ili Ndege yetu iweze kumea na kukua, yaani soko la ndani kwa asilimia zaidi 90% liwe la ndege yetu!
 
Roho mbaya haijengi, sina hakika na uwezo wako wa kufikiri, maake pointing zako nyingi ni fitna kama za wake wenza
 
Navyojua mm wanapanga kuagiza ndege aina ya Bombadier CRJ 1000 nne zenye kubeba abiria kati ya 90 na 100.Hapa muhimu waondoe middle men
 
Hiyo unayoita roho mbaya mimi naita Uzalendo, na ndiyo unaojenga nchi!
Unamaanisha nchi hahihitaji wawekezaji binafsi kisa serikali inafufua ndege zake? Unahisi kwa karne hii tunahitaji kuwa na shirika moja pekee la serikali/ umma kuhudumia wananchi?
 
Navyojua mm wanapanga kuagiza ndege aina ya Bombadier CRJ 1000 nne zenye kubeba abiria kati ya 90 na 100.Hapa muhimu waondoe middle men
Sawa kabisa. hao.middle men ndio watatuletea ndege kama meli ya bagamoyo..
 
Barbarosa sikuekewagi, kuna page yako moja nimeiona inashabikia ubaguzi hasahasa zanzibar,, leo umekuwa mzalando?
 
Habari kutoka chanzo kisicho rasmi sana.. inasemekana ATCL inategemea kuleta ndege 5 (regional jets) aina ya Bombadier zenye uwezo wa kubeba abiria 50 hadi 70 ili kufufua biashara yake hasa kwa safari za ndani na nchi za jirani.
Fedha hiyo inasemekana ni mkopo toka TIB..

Ameen
 
Isije ikawa kama mv dar lakini
 
Hongera zao, wajipange na kukabiliana na soko huria, wasitegemee kubebwa watafika mbali..
 
Habari kutoka chanzo kisicho rasmi sana.. inasemekana ATCL inategemea kuleta ndege 5 (regional jets) aina ya Bombadier zenye uwezo wa kubeba abiria 50 hadi 70 ili kufufua biashara yake hasa kwa safari za ndani na nchi za jirani.
Fedha hiyo inasemekana ni mkopo toka TIB..
Ole wako iwe unatudanganya mkuu. Nimeshaweka oda ya keki kwa sherehe ya kukaribisha ndege.
 
I hope so mkuu, maana ilifika pahala unaweza fikiri tuliongozwa na vichaa na matapeli, lakini uongozi huu una dalili njema, safari ni ngumu lakini Mungu atatufikisha salama.
 
Back
Top Bottom